Mgombea atoa machozi

Hata uwe na upendo na uwezo kiasi gani kwa Watanzania, huwezi kufanya chochote ukiwa ndani ya CCM!
 
Wasomi wanajitambua sana, hawawezi kubuluzwa na wanasiasa wasio na tija kwa taifa hili.

Kwa hiyo wapiga kura ni wasomi tu? Acha dharau hii sio nchi ya wasomi peke yao alafu ao wasomi wamekaa tu nchi ikitafunwa then unajivunia wasomi wasomi wa matumbo au wasomi wa nini? Ebu niambie usomi wa m'bunge anaeitwa Kibajaji kasomea nini? Kwa hiyo nyie wasomi mlimchagua kibajaji asiye msomi awaongoze
 

Nitampigia kura hivyo hivyo!
 
watakao mpigia kura wakapimwe akili

Maana akili zao zitakuwa ni za juu kuliko nyinyi mnaoshangilia kujengwa kwa barabara zenye kiwango kibovu wakati hata kuzitumia hamzitumii,hamna hata baiskeli yakutembelea kwenye hizo bara bara!
 
Amejenga hajajenga,sisi tumeamua ni LOWASA tu,miaka 54 ,ccm wamefanyanya nini,?nawatafanya nini kipya?
 
acuna 15:13 Today
watakao mpigia kura wakapimwe akili

Ahahahhaaa hii nimeipenda yaani hao ni malofa watakao mpigia lowasa kura
 
Hv watanzania wamelogwa na nini? Hv kusoma haujui hata kufananisha picha tu pia hujui? Mtu u name on a mgonjwa yule na msanii ahadi hewa kibao halafu bado unatubania pua hapa eti lowasa ndio mpango mzima shame of you
 
Yaani sisi ni lowasa tu, hata msemeje. Lowassa hoyeeeeeeee!!!!
Hata kama lowassa tu, ni hoja ya msingi kama kweli huko monduli hata kiwanda cha kusindika maziwa hakuna. Je ni mabadiliko gani tutayapata? Ila kama masuala ya mahaba kwake sio mbaya ukimpa kura yako.
 
Kawafundisha wa kwao kutembea na mifugo toka Monduli hadi Kiteto hadi Mvomero.
Taabu sana huyu jamaa.

unatuaminisha pia kuwa wale kinadada wanaojiuza ni CCM na Magufuli wamewafundisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…