Mgombea atoa machozi

Atapigiwa kura na madereva bodaboda na mama ntilie ambao wameamua kujitoa ufahamu.Mimi siwezi kumpigia kura fisadi ambaye hana cv ya ufanisi ktk uongozi wake.
 
IKULU sio pango la mafisadi yeye akachunge tu IKULU haendi
 
Kwenye jimbo lake la tu Chato ni vituko, wananchi washamchoka na asingegombea urais mwaka huu hata kutetea kiti cha ubunge ilikuwa ni mtihani maana jimboni kwake kila kona kazungukwa na wenyeviti wa mtaa wote kutoka UKAWA. kwenye urais je atapona kweli?
 

Sio kwamba ana kiwanda cha siri siri cha ngozi??
 
Magufuli ndiye chaguo sahihi la watanzania.Huyo mzee hawezi kuleta ajira kwa vijana kama kwake kashindwa.
 
Magufuli kashindwa rushwa ya kwenye mizani zake; hafai kuwa Raisi? acheni ushabiki wa kirejareja mtu aweze kila kitu amekuwa mungu?
 
Kuwa na idadi kubwa ya ng`ombe kiasi hicho unashindwa kujenga hata kiwanda kidogo cha kusindika maziwa, ni aibu kubwa sana.
 
Magufuli ni jembe kura yangu nitampa
 
ameungana na fisadi mwenzie Sumaye naye ana ng'ombe wengi hana lolote zaidi ya kuwanyang'anya wananchi maeneo yao
 
Tukianza kupimana kwa yapi mtu amefanya kama mbunge na kuweka benchmark ya ahadi zao basi mwaka huu hatutakuwa na Raisi

Monduli ina maji yote??......Chato ina maji yote???

Monduli hakuna kiwanda cha ngozi/kusindika nyama za mifugo...Je chato kuna kiwanda cha kusindika samaki au chochote???
 
Lowassa ni sehemu ya matatizo ya watanzania hilo halina mjadala.!
 
Tuanaangalia uwezo wa kifedha wa mtu na nafasi alizowahi kushika Babu ameshawahi kuwa PM amefanya yapi? hata kiwanda cha maziwa kashindwa wakati lilikua ndani ya uwezo wake? magnolia alikua waziri tu mambo mengine yalikua juu ya uwezo wake tofauti na babuuu
 
Kwani hao wafugaji wa Monduli wanafuga ng'ombe wa maziwa? Na kama alikua hawasaidii Kwanini walikua wakimchagua Miaka yote? Wewe sidhani km ni mmoja wa hao wafugaji Bali unajisemea kwa sababu zako mwenyewe.
 
Ukimchagua Lowasa maisha yatakua magumu zaidi ya haya maana wafanyabiashara watajichotea tu wanavyotaka
 

haya maneno yapeleke kwa mamaako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…