mchotamaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2015
- 219
- 66
Kwani mdahalo ndio hitaji la wapiga kura ? Kwani in lazima ufanye mdahalo Na Chadema mbona vyama in Vingi Fanya Na TLP ya swaiba Wa ccm
Why did Kikwete refuse the national debate against dr Sala in 2010?...and the opposite is very true this year.
Ni vema sasa kukawa na midahalo kwa wagombea wa nafasi za urais ili wananchi wapate kuwajua zaidi hasa sera zao zikoje.
Sio busara kwa mgombea kukataa midahalo maana hiko kitakuwa kihashiria kikubwa cha kutokubalika na kukisa kura hapo tarehe 25 Oktoba mwaka huu.
NB: MGOMBEA ANAEKATAA MIDAHALO HAFAI KUWA RAIS

Mtakimbia midahalo lkn mtaisoma namba tu mwaka huu mnalo mtajinyea majukwaani mpaka mukome
Ni vema sasa kukawa na midahalo kwa wagombea wa nafasi za urais ili wananchi wapate kuwajua zaidi hasa sera zao zikoje.
Sio busara kwa mgombea kukataa midahalo maana hiko kitakuwa kihashiria kikubwa cha kutokubalika na kukisa kura hapo tarehe 25 Oktoba mwaka huu.
NB: MGOMBEA ANAEKATAA MIDAHALO HAFAI KUWA RAIS
Why did Kikwete refuse the national debate against dr Sala in 2010?...and the opposite is very true this year.
Mara hii zimeshakuwa za kale!Uzoefu wa wapi wewe acha stori zako za kale