Mgombea anayekataa midahalo hatufai

Mgombea anayekataa midahalo hatufai

mbona kikwete alikataa na alikufaa na ukamchagua... lowassa rais 25 oct
Achana na mambo yaliyopita wewe, jadili hoja kulingana na wakati tuliopo, kipindi chenyewe wewe ulikuwa bado hujazaliwa
 
2010 Wagombea wote wa CCM walikatazwa kudhuria midahalo ya mchakato majimboni aliyokuwa inaendeshwa na Shaban Kisu na wengi walishinnda 2015 leo UKAWA wakikataa kushiriki midahalo iwe nongwa
Hizo habarimza 2010 zimepitwa na wakati wewe, mmetumwa eeenh mbona timu Ukawa wote mnajibu jibu moja la kufanana la mwaka 2010 wakati huu ni uchaguzi wa 2015
 
Kabla hujapost kitu uwe na kumbu kumbu vizuri, tuletee kumbu kumbu ya ni lini mgombea wa ccm alishiriki mdahalo tokea kuasisiwa kwa mfumo wa vyama vingi?
Acha kukurupuka wewe, hapa tunajadili hali ya uchaguzi ya sasa na sio mambo yako ya kale unayoongea hapa,
 
2010 Wagombea wote wa CCM walikatazwa kudhuria midahalo ya mchakato majimboni aliyokuwa inaendeshwa na Shaban Kisu na wengi walishinnda 2015 leo UKAWA wakikataa kushiriki midahalo iwe nongwa

Hii ni hadaa tu ya maccm. Ni wangapi wenye kumiliki hizo tvs. Hilo wala haliwaokoi na kupigwa chini.
 
tumeishi na JK aliyekimbia midahalo

Binafsi midahalo yetu ni kupoteza muda tu... facilitators wenyewe ndio haohao akina Aidan Eyakuze, Maria Sarungi,etc

Biased mwanzo mwisho
 
Majitu Kwa Kupandikiziwa Maneno!?Ndio Maana Yaliaminishwa Kuwa Nchi Hii Ni Masikini Yakaamini.Mdahalo Si Lazima!Pumbavu!!
 
tumeishi na JK aliyekimbia midahalo

Binafsi midahalo yetu ni kupoteza muda tu... facilitators wenyewe ndio haohao akina Aidan Eyakuze, Maria Sarungi,etc

Biased mwanzo mwisho
hata mkiikimbia lkn hapa tunawakaba mpaka mate yawakauke mwaka huu iwe fundisho na mkome kupambana na ccm
 
Mtakimbia midahalo lkn mtaisoma namba tu mwaka huu mnalo mtajinyea majukwaani mpaka mukome

sasa kama kukimbia mdahalo ni nafuu kwenu kwanini mtumie nguvu kubwa kulazimisha mtu ambaye hataki!!! hahaaaa, watu wameshawashitukia zamani sana. Kwa mgombea ambaye eti anashangaa kuwa tuna miti mingi lakini watoto wanakaa chini!! na anaomba kura kupitia chama hicho hicho!!
 
Endelea kula posho za kuwasemea Ukawa wewe hujui lolote mbumbumbu umekalia ushabiki tu, unapelekeshwa
 
Ni vema sasa kukawa na midahalo kwa wagombea wa nafasi za urais ili wananchi wapate kuwajua zaidi hasa sera zao zikoje.

Sio busara kwa mgombea kukataa midahalo maana hiko kitakuwa kihashiria kikubwa cha kutokubalika na kukisa kura hapo tarehe 25 Oktoba mwaka huu.

NB: MGOMBEA ANAEKATAA MIDAHALO HAFAI KUWA RAIS

Midahalo sio takwa la kikatiba/kisheria,na ndio maana hata kwenye ratiba ya NEC halipo.

Full stop!!!
 
Ni vema sasa kukawa na midahalo kwa wagombea wa nafasi za urais ili wananchi wapate kuwajua zaidi hasa sera zao zikoje.

Sio busara kwa mgombea kukataa midahalo maana hiko kitakuwa kihashiria kikubwa cha kutokubalika na kukisa kura hapo tarehe 25 Oktoba mwaka huu.

NB: MGOMBEA ANAEKATAA MIDAHALO HAFAI KUWA RAIS

Kikwete na ccm iliyo chakaa ilikataa mdaharo vip hapo
 
Endelea kula posho za kuwasemea Ukawa wewe hujui lolote mbumbumbu umekalia ushabiki tu, unapelekeshwa
Tulishawazoea, bora niwe lofa ninayejitambua kuliko kuwa, bendera fuata upepo!! eti mdahalo ndio utakao peleka maji kijijini?? waambieni watz kwa miaka 50,mmewafanyia nini, na sio kuja na hadaa tu, mgombea ana toa ahadi kana kupita hata wapinzani!! kwanza kipindi hiki wala kilikuwa c cha kutumia nguvu nyingi rasilimali fedha kibao, mlikuwa mnapita tu na kuwaonyesha wananchi mliyoyafanya basi mnatulia, sasa cha kuwaonyesha hakuna eti mdahalo!!!ALIYEZOEA VYA KUNYONGA VYA KUCHINJA HAWEZI.
 
Ni vema sasa kukawa na midahalo kwa wagombea wa nafasi za urais ili wananchi wapate kuwajua zaidi hasa sera zao zikoje.

Sio busara kwa mgombea kukataa midahalo maana hiko kitakuwa kihashiria kikubwa cha kutokubalika na kukisa kura hapo tarehe 25 Oktoba mwaka huu.

NB: MGOMBEA ANAEKATAA MIDAHALO HAFAI KUWA RAIS

Umeambiwa hakuna taasisi wala chombo chochote cha habari kilicho mwalika Mgombea Urais kupitia CHADEMA (UKAWA) kuhudhuria mdahalo wowote hadi jana usiku sasa naona unakuja na hoja za kusadikika ambazo ni za kipuuzi kama ungekuwa unafuatilia taarifa jana Mbatia amezungumza wazi kuwa wao kama UKAWA wapo tayari kwa midahalo itakayoandaliwa na taasisi zinazokubalika na zisizoegemea upande mmoja hivyo ni wazi ikiwa mdahalo utaandaliwa na TBC au StarTV usitarajie kuona mgombea wa UKAWA akishiriki.
 
Endelea kula posho za kuwasemea Ukawa wewe hujui lolote mbumbumbu umekalia ushabiki tu, unapelekeshwa

Kumbe wewe jamaa mpuuzi kweli kwa hiki ulichokiweka ndio umejiona una akili huku kiuhalisia umekiweka kiushabiki tena usio na faida wala tija kwa Taifa na hata familia yako.
 
Back
Top Bottom