GE2025 Mgombea ACT Wazalendo nitatumia pesa za Mfuko wa Jimbo Kutatua Changamoto za wananchi kwa haraka sana

GE2025 Mgombea ACT Wazalendo nitatumia pesa za Mfuko wa Jimbo Kutatua Changamoto za wananchi kwa haraka sana

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,436
Reaction score
5,234
Mgombea ubunge wa jimbo la Ukonga kwa tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Bakari Shingo amewaahidi wakazi wa jimbo hilo kuwa atatumia fedha za mfuko wa jimbo kutatua changamoto zao kwa haraka na kushirikiana nao bega kwa bega katika shughuli za maendeleo.

Back
Top Bottom