Gabriel Jimmy
Member
- Dec 10, 2012
- 23
- 3
Nilidhani wamekula fedha za umma kumbe ni kukwamisha mradi!
Ulipouliza wanasema sababu ya kukwamisha ninini, maana usilete habari zenye kiwiliwili bila kichwa!
Ndio umeandika nini hiki? Si bora unyamaze? Sijui ni nini asili ya kizazi chenu
wamekusikia Ritz
Hivi pesa za Halmashauri ya Karatu siyo za umma...ushabiki wa vyama hauwezi kutusaidia kupambana na ufisadi.
cdm si ndo wanaongoza halmashauri na ndio wenye maamuzi mana katika halmashauri madiwani ndio wenye mamlaka ya mwisho....sasa hao wamekula fedha za miradi.....
Tulitegemea cdm mtakuwa mfano wa kuungwa katika halmashauri za wilaya mnazoziongoza lakini mumeonhyesha uzaifu mkubwa kuwa hakuna kitu ni maneno maneno tu ..... Halmashauri tu inawshinda je mtaweza ongoza nchi??????.......
Wewe kweli MBURURA hivi unajua mfumo wa utoaji fedha katika Halmashauri unapitia ngazi ngapi? na hao madiwani na mwenyekiti wametafuna fedha hizo wao ni Wazabuni? na hapo kwenye RED fanya editing basi usijidharirishe.
Nakuongezea na hii ya Tumaini Makene.Wanabodi.
Chama cha CHADEMA kimefanya ufisadi mkubwa na kukwamisha miradi mingi ikiwemo Mradi wa Maji Karatu Vijijini (Kaviwatu) tume ndogo iliyoundwa kuchunguza kukwama kwa miradi hiyo ilitaka baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi wa mradi huo wafukuzwe.
Mradi huo wa maji umeleta mpasuko mkubwa ndani ya chama hicho hasa baina ya sekeretarieti ambayo inadaiwa kuwakingia kifua baadhi ya watuhumiwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho ambao wanataka hatua za kinidhamu zichukuliwe.
Baadhi ya viongozi wa CHADEMA ambayo wanatajwa kufanya ufisadi ni Mbunge wa Karatu Mchungaji Israel Natse, Mbunge wa viti maalumu Cicilia Pareso na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Karatu Lazaro Maasai na Diwani wa Karatu Mjini Jubiless Mnyenye.
SOURCE: MWANANCHI DESEMBA 17, 2012.
Hapo kwenye Red, naona unatafuta kuingiza siku mkuu, hivi kwa akili yako Mbunge anawezaje kula pesa? yeye ni mhasibu?
funguka hao wabunge wamehusika kivip? Naona kama jungu vile!Wanabodi.
Chama cha CHADEMA kimefanya ufisadi mkubwa na kukwamisha miradi mingi ikiwemo Mradi wa Maji Karatu Vijijini (Kaviwatu) tume ndogo iliyoundwa kuchunguza kukwama kwa miradi hiyo ilitaka baadhi ya watuhumiwa wa ufisadi wa mradi huo wafukuzwe.
Mradi huo wa maji umeleta mpasuko mkubwa ndani ya chama hicho hasa baina ya sekeretarieti ambayo inadaiwa kuwakingia kifua baadhi ya watuhumiwa na baadhi ya wajumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho ambao wanataka hatua za kinidhamu zichukuliwe.
Baadhi ya viongozi wa CHADEMA ambayo wanatajwa kufanya ufisadi ni Mbunge wa Karatu Mchungaji Israel Natse, Mbunge wa viti maalumu Cicilia Pareso na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Karatu Lazaro Maasai na Diwani wa Karatu Mjini Jubiless Mnyenye.
SOURCE: MWANANCHI DESEMBA 17, 2012.
Mkuu kwa hiyo wanaokula pesa za halmashauri ni wazabuni tu?
Meli ya samaki wa magufuli ilitaifishwa ya Kinana (the poacher) itataifishwa lini?
Ma mdogo Rayc anaendeleaje?