aisee yaani NCCR naionea huruma sana, mbatia kukiua chama chake kisa ukawa, wamepoteza viti vingi vya NCCR bungeni, mtu kama kafulili tutammisi sana aisee,, inabidi NCCR wajitoe ukawa ili kujenga chama chao upya, naona joka la chadema limeimeza nccr vibaya sana,, ombi langu kwa mbatia: Jenga chama chako ili 2020 mpate wabunge wengi mjengoni, acha kutumika kuwa msemaji wa chadema na ukawa, mfikilie mtu kama davis kafulila ameanguka.
Mbatia anahusikaje kwa wale wabunge wa Kigoma kukosa ubunge? Infact kama siyo Ukawa hata Mbatia asingekuwa mbunge.