Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
Mama tanzania mtepesha mdomo ndoma sauti ya zege halima mdee aliwahi kusema neno kuwa ni.....
malizia

Vingi vingapi? Walikuwa na viti vinne wamepoteza vitatu na cha Manchali huwezi sema wanepoteza maana Manchali alijitoa
Yeye kama mwenyekiti hajawai kukanyaga jimboni kwa kafulila kumpigia kampeni? Mkuu, unaelewa implication yake?
waha awana akili wote walienda act na wote wakaanguka
alikuwa bize na lowassa akasahau hata kunadi chama chake. Ajiuzulu aende huko huko chadomoMbatia kahusikaje hapa?
Funguka tu unasema mdee alisema anatabia za yule sir wa uingereza teh teh teheeeeeeMama tanzania mtepesha mdomo ndoma sauti ya zege halima mdee aliwahi kusema neno kuwa ni.....
aisee yaani NCCR naionea huruma sana, mbatia kukiua chama chake kisa ukawa, wamepoteza viti vingi vya NCCR bungeni, mtu kama kafulili tutammisi sana aisee,, inabidi NCCR wajitoe ukawa ili kujenga chama chao upya, naona joka la chadema limeimeza nccr vibaya sana,, ombi langu kwa mbatia: Jenga chama chako ili 2020 mpate wabunge wengi mjengoni, acha kutumika kuwa msemaji wa chadema na ukawa, mfikilie mtu kama davis kafulila ameanguka.

haya nakuona kafulila wa kujipachika,, hongeraNakuona kama mwendawazimu vile. Niliachiwa jimbo na cuf na cdm hawakusimamisha mgombea. Joka la kijani likatumia hila zake wakanichakachua jimbo..mpaka leo nina evidence mkononi.
Mafisadi ndo waliwekeza kuniangamiza mimi kama Kafulila sijapoteza kitu na waliodhulumiwa ni wapiga kura.
Leo hii unataka kuniaminisha kuwa ni ukawa ndo walionidhulumu jimbo? Shame on you fisadi....
NCCR sawa kabisa na ACT!
Hiki ni Chama kongwe tokea enzi za Lyatonga Mrema, cha zamani sana na mpaka hivi sasa bado kinapumuajamani, hivi NCCR bado ipo? chama hakina hata viongozi zaidi ya Mbatia na sijui anamuongoza nani! hakuna cha halmashauri kuu wala wajumbe wala katibu wala nini ni one man show ya Mbatia tu! teh teh teh!