Mgogoro wa msanii Diamond na baadhi ya Media

Jul 14, 2021
49
42
Kama inavyojulikana Diamond kuwa na mgogoro na baadhi ya wasanii wenzake pamoja na MEDIA kama Clouds FM na tv pamoja na EATV na radio kupiga nyimbo zake lakin na EATV kwa Sasa wanapiga ngoma zake.

Je, tofauti zao washazimaliza?
 
Kama inavojulikana diamond kuwa na MGOGORO na baadhi ya wasanii wenzake pamoja na MIDIA kama clouds fm na tv pamoja na eatv na radio kupiga nyimbo zake lakin na eatv kwa Sasa wanapiga ngoma zake.je,tofauti zao washazimaliza??
Ndiyo. Leta lingine
 
Hana shida na Midia wala Media yoyote. Sema tu hawezi kufanya interview kigurumashi gurumashi na media zetu hizi za Bongo yeye ni brand tena brand haswa.
Kufanya interview na clouds anaweza ila bora apige hizo exclusive pale wasafi media. Hapo tu ndio ugumu ila jamaa hana taabu na media. Maana siunaona miaka miwili sasa hivi vismall tv kama you tube tv wanamuhoji bila taabu na anajibu.
 
Mbona clouds nyimbo zake hazipigwi na muda mrefu Sana kwanini
 
Acheni porojo wadogo zangu tafuteni pesa na nyinyi muwe kama Diamond,watu hamjawahi hata kumiriki milioni Saba!!harafu mnataka mtu anayemiriki biliioni za pesa awe ana fikiri na kutenda kama nyinyi,tafuta huo mkwanja mrefu ndio utaelewa kwanini Mond na wasafi company wanafanya hivyo wafanyavyo.
 
Hapana sio Kama hatutafuti pesa Kwan ww unafurahi watu wakichukizana???
 
Back
Top Bottom