mgogoro wa maji MERU (sing'isi vs poli)

Mahesabu

JF-Expert Member
Jan 27, 2008
5,972
3,830
Maji yatokayo mlima Meru ambayo hutumika kwa umwagiliji wa asili toka miaka na miaka yamezua mgogoro kati ya kata mbili (POLI na SING'ISI) Ambapo kata moja sasa imezuia maji yasiende kata nyingine kwani wao wapo juu hivyo kuwa na haki ya kuyatumia pekee.
Kamati ya maji kata ya poli pamoja na diwani wa poli kwa namna moja ama nyingine wameshindwa kutatua tatizo hilo!
Mazao yaliyoyokuwa yakimea kutokana na maji hayo yamedhoofu na ukijani kutoweka mahali ambapo awali palikuwa kijani kitupu (EVERGREEN)
Je nini tatizo? Je ni dini?kabila?siasa? Sera? (Sio ya majimbo) uongozi? Ama nini!!!
 
Back
Top Bottom