Mgogoro wa Israel na Iran

Mgogoro wa Israel na Iran

Israel haijawahi shindwa vita kabisaa tokea zamani ikishindwa unakuwa ni mwisho wa duniaaa.
 
Israel haijawahi shindwa vita kabisaa tokea zamani ikishindwa unakuwa ni mwisho wa duniaaa.

Una ushabiki mmbaya. Kwanza kumbukeni kama mna shabikia Israel kwa kuamini ni wakristo, basi mmebugi. Wale ni wayahudi na hawaamini kabisa kama kuna Yesu. Wanachoamini Masihi atakuja.

Lakini pia mfahamu kuwa waarabu wa 1967 sio wa leo. Wakicharuka hali zetu sisi tunaotegemea fuel kutoka Middle East zitakuwa mbaya.

Lakini hebu niwakumbushe tu kwamba Israel ilipata kipondo cha nguvu kutoka kwa Hezbullah 2006 kilichoifanya serikali ya Israel kujiuzulu baada ya kukiri kushindwa vita hiyo. Israel ilipoteza idadi kubwa ya makomandoo wake waliouawa na Hizbullah. Israel ilitumia mpaka silaha za mwisho za cluster bombs ambazo haziruhusiwi katika conventional war. Kabla hujacoment jitosheleze na usahihi wa unachokiandika
 
Waislam kwann mnauana wenyewe kwa wenyewe

Amka mgalatia.
Sema MAKAFIRI wanaua Waislamu.

Hakuna nchi ya kiislamu ikavamia nchi za MAKAFIRI. kazi ya kupenda kumwaga damu wanaipendayo ni MAKAFIRI TU.
Ndio maana wanashindwa kukaa ktk nchi zao. Lzm wakatafute damu ya Kumwaga Wamfurahishe Paulo. Aliyesema Kunyweni Damu kukumbuka kifo cha mnaemuabudu.

Jahanamu ya moto inawasubiri.
 
Amka mgalatia.
Sema MAKAFIRI wanaua Waislamu.

Hakuna nchi ya kiislamu ikavamia nchi za MAKAFIRI. kazi ya kupenda kumwaga damu wanaipendayo ni MAKAFIRI TU.
Ndio maana wanashindwa kukaa ktk nchi zao. Lzm wakatafute damu ya Kumwaga Wamfurahishe Paulo. Aliyesema Kunyweni Damu kukumbuka kifo cha mnaemuabudu.

Jahanamu ya moto inawasubiri.

Ukiwa mgala ni lazima ubongo uote utando,hawasii hawaoni mpaka wakarostiwe kwanye mota wa Jahannam.
 
Najckia taifa teule ni mashoga. .
Hv ni kweli?

Taifa teule asilimia 64 ya vijana kati ya umri wa miaka 16-30 ni Mashoga.

Na mwaka 2013 lilifanyika Gwaride la MASHOGA DUNIANI ndani ya TEL AVIV (GAY PARADE) Likavunja rekodi Duniani kwa kuwa na MASHOGA WENGI Duniani.
Walihudhuria zaidi ya MASHOGA laki 2 na nusu.

Na mwaka huu wameandaa kiboko kuliko hilo

Soma hapa.


http://www.gaytlvguide.com/componen...fp-articles/72-gay-pride-parade-tel-aviv-2015

http://www.gaypartix.com/parties/TELAVIV-ISRAEL/ForeverTLV/

Yaani BALAA.

Basi utawako na Baadhi ya Waisraeli weusi wanatamani waingie humo na vimini vyao.

Hatari tupu.
 
Una ushabiki mmbaya. Kwanza kumbukeni kama mna shabikia Israel kwa kuamini ni wakristo, basi mmebugi. Wale ni wayahudi na hawaamini kabisa kama kuna Yesu. Wanachoamini Masihi atakuja.

Well said mkuu watu hawa ni wafitini, wakatili na waongo wakubwa - wakitamani kitu basi wanataka Dunia nzima ipigane on their behalf, hawajabadirika chochote tangu enzi za Yesu na nakuhakikishia YESU akirudi Duniani watamuua TENA!!

Vurugu zote tunazo shuhudia Duniani chanzo chake kikuu ni kabila hili - wanatumia Mabenki yao, vyombo vya habari ambavyo wamiliki wakubwa ni wao - wanatumia nyezo hizo kuvuruga baadhi ya Mataifa wanayo yaona yana misimamo thabiti dhidi yao, katika njama hizo wanashirikiana kwa karibu na admin. ya Serikali ya Merikani na Uingereza kwa lengo la kuendeleza mikakati yao ya kinyonyaji na kupora aridhi za Waarabu!

Lakini pia mfahamu kuwa waarabu wa 1967 sio wa leo. Wakicharuka hali zetu sisi tunaotegemea fuel kutoka Middle East zitakuwa mbaya.

Watu huwa wanaweka chumvi mno kuhusu vita hiyo, ni hivi: Kilicho tokea 1967 ni kwamba Waarabu walikuwa wanategemea sana Airforce ya Misri na ilikuwa formidable kweli kweli, hivyo Israel ilibuni mbinu za kuishitukiza Misri baada ya kupata taarifa za kintelligensia kutoka kwa jasusi wake aliyekuwa na asili ya Misri kwamba Waarabu wanampago wa kuivamia Israel wakisaidiwa na Airforce ya Misri – hivyo Waisrael walilazimika kufanya a pre-emptive strike wakafanikiwa kuharibu karibu robo tatu ya ndege za kivita za Misri zikiwa bado zipo uwanjani, tukio hilo la kushtukiza lilivuruga kabisa mpango mzima wa Waarabu - ni hicho tu mkuu. Kama Wamisri wangewahi kuzipiga ndege za wayahudi zikiwa uwanjani na wao wangepata tatizo hilo hilo - hapa kilicho tumika ni mjanja kuwahi sio kwamba Waarabu ni wajinga au mbumbumbu.

Lakini hebu niwakumbushe tu kwamba Israel ilipata kipondo cha nguvu kutoka kwa Hezbullah 2006 kilichoifanya serikali ya Israel kujiuzulu baada ya kukiri kushindwa vita hiyo. Israel ilipoteza idadi kubwa ya makomandoo wake waliouawa na Hizbullah.

Hilo huwa alisemwi mkuu, na kumbuka Hezbullah walikuwa trained na Wairan katika mbinu za kukabiriana na Israel kijeshi - Hezbulla ilifanikiwa kuwapa fundisho Waisrael, vifaru vyao aina ya Merkava vinavyo sifika Duniani vililipuliwa na wanamgambo wa Hezbulla wakitumia RPG29/30 - matokea ya vita vya 2006 vilifanya Israel ijitathimi tena - nikiona Waisrael wanajitia kuikoromea Iran nawashangaa sana!

Nakumbuka miaka ya nyuma Merikani iliwahi kumeza pride yake ikalazimika kuiomba IRAN hisitishe kuwapa silaha wapinzani wa Serikali ya Iraq ambayo iliwekwa madarakani ni Merikani, ombi hilo lilitokana na Wanamgambo wa Iraq kufanikiwa kwa kiasi kikubwa kulipua magari ya deraye na vifaru vya Merikani wakitumia silaha zilizo hundwa IRAN, Bunge la Merikani lilikuja juu na kuhoji uimara wa magari yao na vifaru dhidi ya silaha za wanamgambo wa IRAQ zinazo hundwa huko IRAN, Merikani ililazimika kufanya modification za magari na vifaru bila mafanikio ya kutosha, nikiona baadhi ya watu wanabeza beza uwezo wa kiufundi na kitekinolojia wa Taifa la IRAN nabaki nawasikitikia!

Israel ilitumia mpaka silaha za mwisho za cluster bombs ambazo haziruhusiwi katika conventional war. Kabla hujacoment jitosheleze na usahihi wa unachokiandika
Wangekuwa wanamgambo wa Hezibolla ndio wametumia cluster bomblets na mabom ya white phosphorous basi Israel ingekimbilia Umoja wa Mataifa fasta kuomba Baraza liwakamate viongozi wa wanamgambo wa Heziballo ili wafikishwe the Hague kwa makosa ya uharifu wa kivita – Merikani na Uingereza wange-support azimio la kuwakamata Viongozi wa Hezibolla – lakini linapokuja suala ya Israel kukihuka haki za binadamu kwa kutumia mabom yaliyo pigwa marufuku hakuna wa kuwakemea au kuwaburuza katika mahaka ya Kimataifa huko the Hague - wanafanya wapendalo.
 
Iran ni waarabu kwa hiyo ni waislamu. Uislamu=kigaidi=machafuko duniani kote

Halafu tukisema MAKAFIRI hamna elimu mnakuwa wakali.
Nani kakudanganya kuwa WAIRANI NI WAARABU?

Hivi nyie hizo division one za kanisa huwa mnaletewa kwenye kwa kuimba kwaya eti?

Kweli UKAFIRI NI GIZA NENE.
 
Halafu tukisema MAKAFIRI hamna elimu mnakuwa wakali.
Nani kakudanganya kuwa WAIRANI NI WAARABU?

Hivi nyie hizo division one za kanisa huwa mnaletewa kwenye kwa kuimba kwaya eti?

Kweli UKAFIRI NI GIZA NENE.

Acha kutoa povu huku ukitetea mauaji mnayofanya ------ wewe!!!!
 
Israel ikidhubutu kuatack iran basi makombora yatakayotua telaviv hayana idadi
 
Israel ikidhubutu kuatack iran basi makombora yatakayotua telaviv hayana idadi


siipimii israel lkn Iran wanaonekana wako vzr netanyau anaweza akaadabishwa asipoangalia coz Iran hategemei ma mig na scuds kama ilivyokuwa kwa Iraq.
Huu mziki kuna uwezekano Wa matumizi ya siraha za mwisho.
(Natafakari kwa sauti huku nikisubiri kupaki uwani kikweche changu pindi petrol itakapouzwa 10000 kwa Lita moko tu)
 
Back
Top Bottom