Mgogoro wa Israel na Iran

Mgogoro wa Israel na Iran

Iran ana S-300 ndege za Israel zitaishia kutunguliwa tu, Israel Iron Dome zake zimefail, Missile za Iran zitapenya tu

Embu leta ushahid wap Iron dome zmefail wkt iron dom ilitungua 90% ya roket za hamas alizopewa na iran na bdo israel ana patriotic air defenc missiles,arrow-2,arrow-3 na bdo kuna david sling ambayo ipo under devlpment itaingia kwny servic mwakan
 
Last edited by a moderator:
Wakristo lieni tu

Wagalatia wakiona hii maneno hata ile damu ya bwana(dodoma wine) hainyweki kwa raha.
Inabidi wakanywe mataptap tu kupunguza mawazo.

Teh teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Hivi wewe kukashifu wengine unaona fahari sana????Kwani Marekani na Iran ndiyo Ukristo na Uislamu??Wewe kahtaan mshamba sana hata wenzako unawatia aibu.
Wagalatia wakiona hii maneno hata ile damu ya bwana(dodoma wine) hainyweki kwa raha.
Inabidi wakanywe mataptap tu kupunguza mawazo.

Teh teh teh teh.
 
Last edited by a moderator:
Embu leta ushahid wap Iron dome zmefail wkt iron dom ilitungua 90% ya roket za hamas alizopewa na iran na bdo israel ana patriotic air defenc missiles,arrow-2,arrow-3 na bdo kuna david sling ambayo ipo under devlpment itaingia kwny servic mwakan

Yaani zile fataki za gerezani za hamas ndo mafanikio ?
 
Hivi Hii Iran ambayo miaka ya 60 Israe iliwapiga ikiwachanganya na mataifa karibu yoooooote ya kiarabu Leo inaweza kusimama peke yake na Israel?

Mkuu kuna watu wapumbav.u sana.
Wanajidai wamesahau 6 DAYS WAR.

Israel ilivichanganya viarabu vyote ikavitandika mpaka vikaomba msamaha.
 
watu weng 2mesongwa na majib ya kiimani 2 lakn c uchambuzi tumeshindwa kutofautisha dini na uwezo wa kijeshi wengne wanazungumzia vita vya cku 6 wameshindwa kujua kilichowafanya arabs kushindwa tena vby ktk vita ile chin ya kiongoz wao misri na wanazungumzia technology ya miaka karb 30 iliyopita bt wameshindwa kujua kuwa m2 kama ulimpga juz kuna uwezekano akakupga leo?
 
Mkuu kuna watu wapumbav.u sana.
Wanajidai wamesahau 6 DAYS WAR.

Israel ilivichanganya viarabu vyote ikavitandika mpaka vikaomba msamaha.

Ujenge tabia ya kujisomea kabla ya kuja humu, hiyo Iran lini imewahi kupigana na Israel?
 
Mkuu kuna watu wapumbav.u sana.
Wanajidai wamesahau 6 DAYS WAR.

Israel ilivichanganya viarabu vyote ikavitandika mpaka vikaomba msamaha.

Mkuu kwanza unatakiwa kujua kuwa iran c arabs na kngne israel hawajawah kupgana na iran then unadhan kpnd kile israel ilikuwa na uwezo yeye kama yenyewe kupgana na nch zote hzo kngne tafuta sababu zlzo fanya arabs wakashindwa vby ktk vta ile kwa takwimu za kijeshi za kpnd kile misri ilikuwa vzr sana kwa kjensh na zana bt ni kama cc uganda walikuwa na vfaa vzr kulko cc kjensh bt 2lishinda kumbuka ktk maswala ya kjensi kuna ktengo ambacho kikfanya makosa mtashindwa kvta hata kama mna robots badala ya wanajensh ktk uwanja wa kvta hapa nazungumzia miltary intelligence
 
Pole mataifa ya kiarabu na mkumbukeni minority must be protected from threat sooo pole sana Iran
 
Hivi Hii Iran ambayo miaka ya 60 Israe iliwapiga ikiwachanganya na mataifa karibu yoooooote ya kiarabu Leo inaweza kusimama peke yake na Israel?
Hii historia umeandika/ umeibuni mwenyewe?

Umeitoa wapi?
 
K
Kwani kuna tija gani kwetu kuwa Iran si arabs au ni arabs???
Kuwe na tija au kusiwe na tija hata wewe haikua lazima uje kukomenti katika hii post, so far hakuna tija...MI Afrika bwana
 
Wa Iran kihistoria ni waarabu ila Hawapo kwny Arab league...

c kwel hata kdg mkuu hyo historia myb ya kusema waisrael ni wazungu eti kwa vile walikuwa utumwani ulaya kwa kpnd kirefu waarabu ni race tofaut kabisa na iran uturuki na hispania
 
Back
Top Bottom