wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,209
- 37,871
😄😄 We jamaa nadhani mshipa wako wa aibu ulishakatika,Kwamba jeshi la Congo Ni imara?😄😄Nani kakudanganya ivo Kongo ina jeshi imara sema ndani ya jeshi kulikuwa na watu ambao sio waaminifu ndio sababu ya jeshi la Kongo kuonekana dhaifu kwenye ranking za africa jeshi la Kongo ni la 7 na la 74 duniani