imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 61,235
- 98,464
Hizo nguvu tuzitumie kulima mazao bora, angalia Mrusi anavyojambishwa mzee.Rwanda, Uganda tu hapo anampaga shida, Tz inaweza ikasimamia shoo na akatulizwa
Never underestimate your enemy.
Hizo nguvu tuzitumie kulima mazao bora, angalia Mrusi anavyojambishwa mzee.Rwanda, Uganda tu hapo anampaga shida, Tz inaweza ikasimamia shoo na akatulizwa
Mrusi hajambishwi, mrusi kapata platform yakufanya mambo yake, anatandika ndani na nje ya ukraine, sawa never underestimate ila sio kwa RwandaHizo nguvu tuzitumie kulima mazao bora, angalia Mrusi anavyojambishwa mzee.
Never underestimate your enemy.
Never underestimate your enemy mzee.Mrusi hajambishwi, mrusi kapata platform yakufanya mambo yake, anatandika ndani na nje ya ukraine, sawa never underestimate ila sio kwa Rwanda
Na kuna nchi moja afrika masharikiJana wamekufa 120 kwa kukata miuno kwa Fally Ipupa huku nyuma M23 wamechukua jimbo lingine kilainii.
Pumbavu Sana hao watu wapigwe tu
Na yeye asizoee nchi za watu vibayaNever underestimate your enemy mzee.
nyani ni wewe unaowaamini wazunguWaafrïka bana...mnafanya upumbavu wenu huko mnauana mnakuja mnasingizia wazungu
Mfano Juzi uchaguzi wa Kenya umefanyika vizuri, Raila akakataa matokeo na kupanga vurugu, baadae akaja kukiri mwenyewe kuwa mabalozi wa nchi za Ulaya ndio walimtuliza
Ila angekataa na kuvuruga tungelaumu wazungu tena, ndio maana dunia nzima inaona Waafrika ni manyani tu
Hii vita tuliingilia wakati wa Kikwete kwa lengo la kuwasafisha M23 na lile kundi la INTERAHAMWE chini ya UN Mission lakini M23 waliponyanyua mikono siasa zikaanza Jeshi la INTERAHAMWE halikuguswa na wanasema lengo lao ni lile lile la kumaliza Mbari ya Kitutsi.Na yeye asizoee nchi za watu vibaya
Acha tuone safari hii wa Congo wataenda vipiHii vita tuliingilia wakati wa Kikwete kwa lengo la kuwasafisha M23 na lile kundi la INTERAHAMWE chini ya UN Mission lakini M23 waliponyanyua mikono siasa zikaanza Jeshi la INTERAHAMWE halikuguswa na wanasema lengo lao ni lile lile la kumaliza Mbari ya Kitutsi.
Congo inawasapoti INTERAHAMWE kwahiyo imelikoroga yenyewe ilinywe.
Congo DRC watachapwa, italichukua Jeshi la DRC muda mrefu kuwa Jeshi lenye nidhamu na kujiamini.Acha tuone safari hii wa Congo wataenda vipi
Mbona Tanganyika imeikalia kwa mabavu Zanzibar tokea 1964 na kuifanya masikiniUbelgiji na Ufaransa! Wamekuwa wakivuna shamba
la Madini la Jamuhuri ya kidemokrasia ya Congo na
kulifaidi pasipo kupanda kitu.
Nchi ya Congo ni moja katika ya nchi duniani zenye
utajiri mkubwa wa madini! Lakini ajabu ni kwamba
kongo ni kati ya nchi 10 maskini zaidi duniani!
Kumekuwa na mgogoro wa Dr Congo na Rwanda
mgogoro huo kwa sasa umefikia pabaya kwani Dr
Congo imempa Balozi wa Rwanda Vincent Karenga
masaa 48 kuondoka! Congo inaituhumu Rwanda
kuwa inawasapoti na kuwaunga mkono waasi wa
M23!
Hata hivyo Rwanda siku zote wamepinga madai
hayo! Kumekuwa na suluhisho za kidiplomasia lakini
zote hizo hazikufua dafu Impaka sasa Rais wa Congo
yuko tayari kutumia nguvu za kijeshi kutatua suala
hilo,Rwanda imejibu na kusema wako tayari kwa
hatua zozote za kichokozi za Congo.
Nchi hizi mbili ni washirika wa Afrika Mashariki, hivo
basi lolote litakalojitokeza basi lina adhari kwa
Jumuiya yote ya Afrika mashariki.
Ufaransa na Ubelgiji wanajua kila kitu kinachoendelea
!Afrika yafaa kuungana na kumpiga adui!
Nani kakudanganya ivo Kongo ina jeshi imara sema ndani ya jeshi kulikuwa na watu ambao sio waaminifu ndio sababu ya jeshi la Kongo kuonekana dhaifu kwenye ranking za africa jeshi la Kongo ni la 7 na la 74 dunianiHapo tutakuwa tunapigana peke yetu Drc hamna jeshi risasi zikianza wanakimbia Burundi ni kajeshi kadogo ka kimaskini na silaha za enzi za mbeleji.
Ataachaje kuwatetea wakati yeye mwenyewe ni kibaraka wao? We ona hata jina lake tu, la kizungu!Dah, mkuu 'Johnny Sack', kuwatetea hao wazungu, pamoja na uzuzu wetu ni jambo gumu sana kulifanya.
Ninakubaliana nawe juu ya upumbavu wetu, lakini kuwatetea hao watu? Hapana.
Watusi mna matatizo Sana.Congo DRC watachapwa, italichukua Jeshi la DRC muda mrefu kuwa Jeshi lenye nidhamu na kujiamini.
Hata Timing ya DRC ya kuanzisha vita kubwa pia haiko sawa, Dunia nzima inaangalia Ulaya na Urusi.
Rwanda ataitumia hii hali ya sasa kuingia hadi Kisangani kwa muda mfupi tu na kuchakaza kambi za INTERAHAMWE.
Vita ina mambo mengi DRC iwafurushe INTERAHAMWE ndio solution.View attachment 2403274View attachment 2403274View attachment 2403274
War is Hell.
View attachment 2403282
Matatizo gani mkulu?Watusi mna matatizo Sana.
Jeshi la Drc limeundwa na makundi ya zamani ya waasi wa maeneo tofauti tofauti hivyo hawana nidhamu.Jeshi la Congo wanapiga Magitaa vizuri kuliko kupiga Bunduki halafu wao ndio wabakaji dhidi ya Raia wao.
Mcongo mmoja aliuliza Kule Twitter hivi inakuaje Nchi inachukuliwa na M23 na rais na viongozi wenzake wako huko uwanjani wakiangalia shoo ya Fally Ipupa,boss mmoja wa serikali ya Congo akamjibu akisema kwa hio Ulitaka tuharibu utamaduni wetu(music) kwa sababu eti kuna Vita huko Eastern Congo?😄😄Na kuna nchi moja afrika mashariki
Tunaelekea huko huko maana wakata mauno wanazidi ongezeka
Nkirudi kongo,Acha m23 awanyooshe maana wakongo wamezidi kukata maunoooo
Ova