Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,361
- 2,734
Ritz yuko objective siku hizi..kabadilika ni great thinker na sio Sinker
Hauna "CREDIBILITY" ya kutuletea habari za CDM. Kajipange upya!
Tatizo la Pro-Chadema JF ndio ili, badala ya kujibu hoja wanaleta porojo kwenye mambo ya msingi.
Mbona migogoro ya CCM, NCCR Mageuzi, CUF, mnaijadili kwa kasi ya ajabu, kubalini ukweli Arumeru kuna mgogoro.
JF ni jukwaa huru sio mali ya Chadema kila member ana haki ya kuanzisha thread cha msingi ni kufuata sheria na kanuni za JF.
Wewe mbona upo sehemu mbili upo kwa Lowassa halafu upo na Chadema.
Mgogoro wa ardhi ni kweli upo, kati ya wafugaji na wakulima.... kubalini ukweli Arumeru kuna mgogoro.
... mgogoro wa ardhi?
Mgogoro wa ardhi ni kweli upo, kati ya wafugaji na wakulima.
Nadhani hoja ya wahusika si swala la kuchangisha ama kupewa pesa kwa mwenzao hoja ni kwa nini tendo hilo lifanyike kabla Chama hakijampitisha mgombea??? Kama kweli kuna DEMOKRASIA kwa tendo hilo then the so called Democracy is raped......
watu wanatumika nijuavyo na ilivyokua Joshua alipotangaza nia walijitokeza watu wakamuunga mkono kwa kumpa michango hakuwahi kuitisha kikao cha michango bali wadau walimpa na hatujasikia zimetumika mpaka sasa kama yupo aliepewa ajitokeze aseme kapewa pesa na Joshua, nadhani hawa ndo watu wa kuondoa kwenye chama mara moja kulinda heshima na uaminifu wa chama kwa watanzania kutokuungwa mkono si sababu ya kumchafua mpiganaji mwenzako.
Nadhan Kuchangisha sio Tatizo!! Team work always someone should do His Part!! Hizi Hela zinaweza kutumika kwa mgombea yeyote atakaye ruhusiwa Kupeperusha Bendera!!
Tatizo la Pro-Chadema JF siku zote wanataka tujadili mazuri ya Chadema, halafu wanasahau kuwa sote ni binadamu tunaweza kufanya makosa, hawataki kusikia kitu chachote kibaya kutoka ndani ya Chadema. Mgogoro upo lakini hawataki kujadili huo mgogoro wote wananishambulia mie utadhani mie ndio nimeleta huo mgogoro.
Mkuu lengo la mchango huo ni tofauti na mawazo yako! Iliyofanyika sio harambee ya chama ni harambee ya kumsaidia Nassari kushinda ubunge sio kuteuliwa kuwa mgombea wa Chadema.
Mkuu Ufunuo,
Kuwa mkweli basi, Joshua Nassari kaitisha harambee Arusha ya kuchangisha fedha alifanikisha kuchangisha Sh10 milioni na magari manane ili kusaidia kwenye kampeni zaidi ya makada 50 waliitwa kuhudhuria harambee hiyo na Lema nae alikuwepo.