KERO Mgogoro Kibaha Sagale Kambini (Sauti ya Umma)

KERO Mgogoro Kibaha Sagale Kambini (Sauti ya Umma)

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Suala la mgogoro wa ardhi Sagale imekuwa ni hekaheka wananchi wanataka suluhu ili mambo mengine ya kimaisha yaendelee kwani watu wameishajenga na wanaishi hapo lakini suluhu imekuwa ngumu kwani Kila wakienda Halmashauri Kwa ajili ya siala hili limekuwa likipigwa kalenda na tayari Mkuu wa Wilaya wa Kibaha alishasema huduma za kijamii ziende na suluhu ipatikane lakini watu walio chini yake wanalirusha rusha siala hili.
 
Back
Top Bottom