Ulivorkwa blacklist kuna mjuba ndo alikua anambokoa vbaya mno mpka akapewa hyo laki. We umetolewa out kama kuombwa msamahaYeah ndo umri wangu,
Hapo kwenye mgogoro ulikuwepo Tena mkubwa maana niliwekwa mpaka blacklist kwa siku kadhaa
Hakika, kwa nini mnakua hivyo...Usipende kula vya wadada vitakudhalilisha mkuu.Ogopa sana pesa ya mwanamke ni kisu mbeleni.
NakaziaUna umri gani?
Kwa sababu anakuwa hakupendi anakupa ili aje apate na riba.Akupendae hahesabu atoavyoHakika, kwa nini mnakua hivyo...
Ashapigwa na kitu kizito huyo hajui sbb siyo legendKama hukijui, hicho ndiyo kibuti.
Ushaachwa hapo. Songa mbele.