Nyerere alisema, " Mtu mwenye akili, akikupa ushauri wa kipumbavu na wewe ukaufuata/ukaukubali, ATAKUDHARAU sana."
Na kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yangu serikalini, safari hii nimeshuhudia serikali ikizitumia Wizara na idara zake Exchequer hewa. Mfano mwezi uliopita wizara yetu ilitumiwa exchequer ya Operating Cost (OC) lakini ilipoaingizwa kwenye system (mtaandao) ya malipo na baadae malipo yakaanza kufanyika kwa kutumia hiyo exchequer then Voucher list kupelekwa hazina baadhi ya malipo yaliondolewa na hazina na kubakisha malipo ya mshahara tu kwa kile walichodai kuwa hakuna pesa BoT.
Sasa cha kujiulliza kama pesa hakuna BoT ni kwa nini walituma Exchequer hewa?
Watanzania wajifunze kuishi na uchaguzi wao... kama serikali yao iko tayari kutumia bilioni 61 kununua majengo matatu Marekani na imehalalishwa kwa sababu kuna matarajio ya matokeo bora huko mbeleni well.. hakuna wa kulalamika.
KIkwete Na membe wake walikuwa wanajisifu kwenda kudai pesa ya chenchi ya rada kwa jeuri......wazungu wanawaangalia tu.........walikuwa watawamalizia wapi.....Uingereza walikuwa confortable pesa irudi lakini hoja Yao ilikuwa pesa iende kwenye NGO ..kwa hoja kuwa serikali hawakuwa na moral authority ya kudai chenci wakati waliitoa wenyewe kwa ridhaa Yao....
Wamengangania wakajuwa watawamalizia wapi........haya sasa kubalini kubanduliwa basi ....Kama mnataka pesa!!!!!!aibuuuuuu...
Jk is a joke....!
Mimi nafanya kazi TRA, makusanyo ya kodi mwezi october ni less than 45% of the monthly target,then where is this country heading!!!!! Kazi tunayo!!!!!
Cameroon ameona jamaa wamezidi kuwa omba omba mpaka hata kwa vitu vidogo. Wakiliweza hilo atakuja na lingine la kutoa sharti la ili upate msaada lazima akushikishe ukuta kama Nape alivyodai kule Mwanza. Mijitu mizima kila siku nchi za watu kuomba omba tu hamtulii makwenu! Sasa ndo Mkome Omba omba!Honestly naomba Mr David Cameron atangaze "kupata msaada lazima mkubali ushoga". Najua it's a thorny issue politically, and they will decide not to. Then tuanze kujitegemea tuone kama watanunua majumba huko nje.
Kununua jengo hilo ni moja, lakini jengo la ghorofa 6 New York kwa nchi inayoomba hata vyandarua vya kuzuia mbu ni maajabu ya Mussa! $24 million ni mansion ya nguvu hata kwa viwango vya wauza mafuta -Saudia. Na gharama za kuendesha jengo kama hilo ni kubwa sana. Hivi tuna shughuli gani kubwa hivyo huko New York zaidi ya kupitisha kibakuli kiasi kwamba tunahitaji jengo la ghorofa 6?
Tumeambia miradi mingi ya barabara imesimama kwa sababu hakuna hela.Mishahara imekwamba. Na kama haitoshi wafadhili nao wamepunguza hela walizo ahidi. Mfano Uiengereza wanapunguza msaada kwenye budget yetu by 30%. Tukumbuke Uiengereza ndio wanatoa kiasi kikubwa kwenye bajeti kuu ya serikali kuliko mfadhili mwingine yoyote. Wanachangia takribani 30% ya hela yote inayotelewa na wafadhili (combined). Kwa hiyo kama wanapunguza ni kwamba tutaumia vibaya. Kwa hali hii inakuwaje tununue majengo ya ki-celebrity?
KIkwete Na membe wake walikuwa wanajisifu kwenda kudai pesa ya chenchi ya rada kwa jeuri......wazungu wanawaangalia tu.........walikuwa watawamalizia wapi.....Uingereza walikuwa confortable pesa irudi lakini hoja Yao ilikuwa pesa iende kwenye NGO ..kwa hoja kuwa serikali hawakuwa na moral authority ya kudai chenci wakati waliitoa wenyewe kwa ridhaa Yao....
Wamengangania wakajuwa watawamalizia wapi........haya sasa kubalini kubanduliwa basi ....Kama mnataka pesa!!!!!!aibuuuuuu...
Jk is a joke....!
Watanzania wajifunze kuishi na uchaguzi wao... kama serikali yao iko tayari kutumia bilioni 61 kununua majengo matatu Marekani na imehalalishwa kwa sababu kuna matarajio ya matokeo bora huko mbeleni well.. hakuna wa kulalamika.
siyo kweli kwamba serikalini hakuna fedha, fedha zipo ila ni matatizo tu ya mtandao.Jamani acheni uzushi.mimi niko jikoni ninajua kila kitu.Tafadhali anayedai serikali haina fedha athibitishe.
Mkuu unanipa uchungu sana unaposema nchi imefilisika wakati sisi wakaazi wa kigoma hatujapata uwanja wetu wa ndege wa kimataifa tulioahidiwa na Jk wakati wa kampeni. Hatukubali kabisa atudhulumu, tumpe kura na uwanja tusijengewe!Kwa hali ilivyo ni hakika nchi imefilisika. Miradi mingi ya miundo mbinu imekwama, serikali inadaiwa na wakandarasi wa ndani zaidi ya 500bn.
Kinachokera ni Vasco Da Gama kuendelea kula good time ulaya, achilia mbali matumizi mabaya ya fedha serikalini.