Mgodi wa waka moto watatu wafariki dunia | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgodi wa waka moto watatu wafariki dunia

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gwaje, Aug 16, 2012.

 1. Gwaje

  Gwaje JF-Expert Member

  #1
  Aug 16, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 271
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 45
  mgodi mdogo wa dhahabu ulioko hapa wilayani Igunga eneo la Choma uitwao Busenge umewaka moto usiku wa kuamkia leo saa saba baada ya watu wasiofahamika kuchoma moto nyumba moja ya nyasi na kushika eneo lote. Thamani ya mali iliyoungulia hapo ni kama milioni 500 maana pana wakazi wengi zaidi ya elfu mbili na wengiwao wamepoteza kila kitu huko.
  taarifa niliyoipata baada ya kufika hapo inachanganya kwani baadhi wanasema kunamtu alifumaniwa na mkewe hivyo mwenye mume akaamua awachomee humo, lakini wengine wanasema moto ulitokea sehemu nyingine japo ni kweli mke huyo alifumaniwa.
  nafuatilia taarifa dhaidi ili kuipa habari hii undani wa tukio.
   
Loading...