Mgodi wa Shanta Singida usiwabague wazawa

Ni mawazo yako. Siyo lazima watanzania wayafuate.
Binafsi huu ushauri ni ya kibaguzi. Leo ni wazawa mkoa au wilaya fulani, kesho kata, kijiji, ukoo hadi familia fulani.

Waajiri wanaangalia elimu,uzoefu, maarifa. Hizo mara nyingi ndiyo sifa waajiri wanaangalia.

Cha msingi ni watu kuendelea kuongeza elimu zao, maarifa na uzoefu.

Hata kampuni yako wewe binafsi huwezi kuajiri kwa kuangalia tu undugu. Uta fail.
 
Hata mimi nimemshangaa kwamba kule Ziwa Victoria wavuvi wawe wazawa tu, pale Kahama Wawe Wasukuma tu Mgodini ukienda kule Nyamonga Northmara Waajiriwa waws Wakurya tuuu.
Mtu wa aina hii kamwd si wa kupewa Uongozi hata wa Ngazi ya Kijiji atapandikiza chuki za Kikabila na kikanda. Au aende kwa wale wanaolilis Serikali za Kanda au Majimbo
 
Nilishangaa kuona post ndefuu. Bado tunahitaji ukombozi wa kifikra.
 
Back
Top Bottom