Mgodi wa North Mara unaingiza hasara ya $1,000,000 kwa Siku

Mgodi wa North Mara Ndo Umekua msaada wa Kampuni ya Acacia nao Sasa unapata loss ya $1,000,000 kutokana na Shughuli nyingi zimesimama katika Mgodi wa Buzwagi na Bulyankhulu wataalamu wanasema sales zimeshuka kwa 45% na 55% respectively.

Mgodi wa North Mara huwa unazalisha dhahabu na Mchanga/magwangala hayaitaji kwenda Nje ya Nchi Kwenda Kuchenjuliwa.

Sales Volume kushuka kwa Kiasi Kikubwa kumepelekea loss katika Mgodi wa North Mara.

Hizo hasara mtazilipa na hilo li nanilii lenu!
 
Hizo hasara mtazilipa na hilo li kinyago lenu!
 
Toka mgodi wa Mwadui ubinafsishwe haujawahi kupata faida hata mara moja, lakini wapo tu! Kwa nini hawaondoki?.
Ndo hapo mkuu mtu unaendeshaje biashara isiyo na faida kama sio kwamba wanatupiga changa la macho
 
Nyie vibaraka mnalipwa nini kuikosoa serikali yenu kwa mambo ya kipuuzi namna hii?!???
Kwani hata wangekuwa wanapata faida mlikuwa mnafaidikaje?!!!
Wanafiki wakubwa
JPM WEKA PAMBA MASIKIONI ACHANA NA HAWA VISIRANI....VIVA JPM!!
MUNGU MBARIKI JPM MUNGU IBARIKI TANZANIA!!
 
Hakuna mtu wa kunyolewa bila maji wala nn,Hii nchi ni huru na km wawekezaji wanaiba hata hiyo mikataba ni useless,hakika nimegundua wengi wetu hatujui maana na mamlaka ya nchi,hao tunajua ni wanasiasa km walijua tunaibiwa na wanasheria makini mbon hawakwenda huko kwenye mahakama za kimataifa kupinga hiyo mikataba?mh.Rais fanya kazi kwenye maslahi ya nchi nakuunga mkono asilimia zote.
 
Mgodi wa North Mara Ndo Umekua msaada wa Kampuni ya Acacia nao Sasa unapata loss ya $1,000,000 kutokana na Shughuli nyingi zimesimama katika Mgodi wa Buzwagi na Bulyankhulu wataalamu wanasema sales zimeshuka kwa 45% na 55% respectively.

Mgodi wa North Mara huwa unazalisha dhahabu na Mchanga/magwangala hayaitaji kwenda Nje ya Nchi Kwenda Kuchenjuliwa.

Sales Volume kushuka kwa Kiasi Kikubwa kumepelekea loss katika Mgodi wa North Mara.
Hivi mkuu unajua maana ya USD 1, 000, 000 au umetapanyatapanya tu maandishi humu? Hivi unajua maana ya neno "Hasara ya USD 1, 000, 000 kwa siku? Bila shaka una undugu na Prof. Mruma na Dr. Magufuli maana wao ndo wanaweza kutoa vitu vya ajabu kama hivyo.
 
miwani ya maisha said:
Nyie vibaraka mnalipwa nini kuikosoa serikali yenu kwa mambo ya kipuuzi namna hii?!???
Kwani hata wangekuwa wanapata faida mlikuwa mnafaidikaje?!!!
Wanafiki wakubwa
JPM WEKA PAMBA MASIKIONI ACHANA NA HAWA VISIRANI....VIVA JPM!!
MUNGU MBARIKI JPM MUNGU IBARIKI TANZANIA!!
Sasa kwani mpaka upige mbinja za kusifia?
 
Hasara ya dolla $1,000,000 milioni moja kwa siku.
Inamaana wanaingiza zaidi ya Tsh 2,500,000,000 billioni mbili na milioni miatano
kwa siku.
Hakuna kampuni duniani inayoingiza kiasi hicho, wacha habari yako.
Ya uwongo.
Daaah Mkuu Kichwa Chako Hakina Tofauti na Sokwe we Unasema Hakuna Kampuni inayoingiza Hicho Kiasi Kweli
Ama Kweli Dunia Haishi Wajinga

Kampuni kama TBL mwaka Jana Waliokua na Revenue ya 1,112,608,000,000 Gawa kwa Siku 365 ina maana kwa Siku wanaingiza zaidi ya 3,000,000,000 hiyo ni TBL
IMG_20170527_123122_032.JPG

Mkuu Hivi unajua Dunia Ina Ukubwa Gani Je vipi Kampuni kubwa kama Google, Apple, Microsoft zinamake Billion ngapi kwa Siku?

Nimeamini Tanzania Ina Vilaza Wengi sana.
 
Hivi mkuu unajua maana ya USD 1, 000, 000 au umetapanyatapanya tu maandishi humu? Hivi unajua maana ya neno "Hasara ya USD 1, 000, 000 kwa siku? Bila shaka una undugu na Prof. Mruma na Dr. Magufuli maana wao ndo wanaweza kutoa vitu vya ajabu kama hivyo.
Na Uhakika Hata Baba Yako Nimemzidi Akili Na kwa Uwezo huu Uliouonesha unaonesha ni Jinsi gani ulivyo Mweupe Kichwani unajua Ukubwa wa Kampuni ya Acacia?

Hebu Angalia Taarifa za Fedha hapa Chini halafu utagundua hata $1,000,000 huenda Ikawa Ndogo Ripoti hii ni ya Fedha kwa Miezi Mitatu June hadi September Mwaka Jana Acacia ilipata zaidi ya $284,695,000 hizi ni Kwa Siku 90 tuu Ina Maana Acassia inatengeneza zaidi ya $3,500,000 Kwa siku hiyo ni Kwa mwaka Jana tuu ndani ya Siku 90. C.c Che mittoga
IMG_20170527_124913_569.JPG
 
Mgodi hauna hasara mkuu ....wangekuwa wameshaondoka! nipo hapa and things are just fine
Taarifa za Kitaalamu wanasema Mgodi Wa North Mara Una Cover Cost za Groupwise Wakati huu ambapo Bulyankhulu na Buzwagi hazizalishi kwa 100%
 
Umefurahia au? Ukumbuke kuna ndugu zako watanzania wanafanya kazi huko. Kwahiyo mambo mengine ni kuyaacha km yalivyo. Kwahiyo wakipata hasara, ww unafaidika nn?
 
Mgodi wa North Mara Ndo Umekua msaada wa Kampuni ya Acacia nao Sasa unapata loss ya $1,000,000 kutokana na Shughuli nyingi zimesimama katika Mgodi wa Buzwagi na Bulyankhulu wataalamu wanasema sales zimeshuka kwa 45% na 55% respectively.

Mgodi wa North Mara huwa unazalisha dhahabu na Mchanga/magwangala hayaitaji kwenda Nje ya Nchi Kwenda Kuchenjuliwa.

Sales Volume kushuka kwa Kiasi Kikubwa kumepelekea loss katika Mgodi wa North Mara.
Nilikuwa nadhani upo kwenye hii industry ya madini kumbe sio. North mara hukuna mchanga, pia watu wameshindwa kukuelewa, ngoja niwaeleweshe kupitia kwako. Ni kwamba hela za North mara asilimia kubwa ndio zinabalance na buzwagi na buly ilimigodi iweze kusurvive
 
Hasara ya dolla $1,000,000 milioni moja kwa siku.
Inamaana wanaingiza zaidi ya Tsh 2,500,000,000 billioni mbili na milioni miatano
kwa siku.
Hakuna kampuni duniani inayoingiza kiasi hicho, wacha habari yako.
Ya uwongo.

una uhakika gani duniani kama hakuna kampuni zinzopata faida kubwa zaidi ya hiyo? acha kukurupuka fanya utafiti then tuletee ushahidi, je waweza tuambia hata bakhresa kwa siku anaingiza kiasi gani? huu ujinga na ushabiki mnaouendeleza utatugharimu sisi sote kama watanzania.........
 
Nilikuwa nadhani upo kwenye hii industry ya madini kumbe sio. North mara hukuna mchanga, pia watu wameshindwa kukuelewa, ngoja niwaeleweshe kupitia kwako. Ni kwamba hela za North mara asilimia kubwa ndio zinabalance na buzwagi na buly ilimigodi iweze kusurvive
Yeah ndo nilichokua naamaanisha kwani Wenyewe Mchanga wake ulikua hauitaji Kusafirishwa kama Buzwagi na Bulyankhulu
 
Tutaolewa kupitia hii mikataba.
Wamuulize MZEE Mugabe baada ya kuwanyang'anya (Wawekezaji) wakulima wa KIZUNGU Mashamba.

Kinacho/Kilicho mkuta kila mmoja anajua.

Muda sio mrefu TUTARAJIE anguko la SHILINGI yetu.

Maana hatuna/hakuna tunacho zalisha kwa sasa.!!
 
Back
Top Bottom