Mgodi wa North Mara unaingiza hasara ya $1,000,000 kwa Siku

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Mgodi wa North Mara Ndo Umekua msaada wa Kampuni ya Acacia nao Sasa unapata loss ya $1,000,000 kutokana na Shughuli nyingi zimesimama katika Mgodi wa Buzwagi na Bulyankhulu wataalamu wanasema sales zimeshuka kwa 45% na 55% respectively.

Mgodi wa North Mara huwa unazalisha dhahabu na Mchanga/magwangala hayaitaji kwenda Nje ya Nchi Kwenda Kuchenjuliwa.

Sales Volume kushuka kwa Kiasi Kikubwa kumepelekea loss katika Mgodi wa North Mara.
 
Kwa hiyo kama wanapata hasara tufanyeje. Tulie au. Acheni ujinga. Kama madudu wameyaanzisha wenyewe wacha wayameze tuu. Watulie kama wananyolewa wakat tukiendelea kupembua pumba na mchele. Msitupigie kelele hapa
 
Mgodi wa North Mara Ndo Umekua msaada wa Kampuni ya Acacia nao Sasa unapata loss ya $1,000,000 kutokana na Shughuli nyingi zimesimama katika Mgodi wa Buzwagi na Bulyankhulu wataalamu wanasema sales zimeshuka kwa 45% na 55% respectively.

Mgodi wa North Mara huwa unazalisha dhahabu na Mchanga/magwangala hayaitaji kwenda Nje ya Nchi Kwenda Kuchenjuliwa.

Sales Volume kushuka kwa Kiasi Kikubwa kumepelekea loss katika Mgodi wa North Mara.
Mimi sijaelewa, wakuu naomba aliyeelewa anieleweshe na mimi
 
Huu mwaka tutanyolewa kwa chupa....huyu bashite sitomsamehe maisha yangu yote inakuaje anatoa ushauri kama huu kwa anko
 
Hao jamaa waongo miaka yote walikua wakisema Buzwagi inapata hasara ila hawafungi tu, walifunga Tulawaka kwa sababu walikua hawapati kitu kwanini wasingefunga Buzwagi kama kweli walikua wanapata hasara?

Endelea kuwaamini hawa ngozi nyeupe tu
 
Toka mgodi wa Mwadui ubinafsishwe haujawahi kupata faida hata mara moja, lakini wapo tu! Kwa nini hawaondoki?.
 
Mgodi wa North Mara Ndo Umekua msaada wa Kampuni ya Acacia nao Sasa unapata loss ya $1,000,000 kutokana na Shughuli nyingi zimesimama katika Mgodi wa Buzwagi na Bulyankhulu wataalamu wanasema sales zimeshuka kwa 45% na 55% respectively.

Mgodi wa North Mara huwa unazalisha dhahabu na Mchanga/magwangala hayaitaji kwenda Nje ya Nchi Kwenda Kuchenjuliwa.

Sales Volume kushuka kwa Kiasi Kikubwa kumepelekea loss katika Mgodi wa North Mara.
Kama hakuna faida wanapata hasara tu, it is simple, wafunge mradi waondoke
 
Hasara ya dolla $1,000,000 milioni moja kwa siku.
Inamaana wanaingiza zaidi ya Tsh 2,500,000,000 billioni mbili na milioni miatano
kwa siku.
Hakuna kampuni duniani inayoingiza kiasi hicho, wacha habari yako.
Ya uwongo.
Halafu tukiambiwa kua Tanzania ndie mzalishaji mkbwa wa Dhahabu Africa tunabisha
 
Mzungu hana hasara, tutazilipa zote hizi wenyewe
Umeona eeh hawalijui hili hawa we subiri. Mzungu ni kama Jumba la Kamari halipatagi hasara bali mcheza kamari.
Na kwenye hili mcheza kamari ni sizonje kwa ushauri wa bshite tatizo ni kuwa anachezea kamari kodi zetu
 
Mgodi wa North Mara Ndo Umekua msaada wa Kampuni ya Acacia nao Sasa unapata loss ya $1,000,000 kutokana na Shughuli nyingi zimesimama katika Mgodi wa Buzwagi na Bulyankhulu wataalamu wanasema sales zimeshuka kwa 45% na 55% respectively.

Mgodi wa North Mara huwa unazalisha dhahabu na Mchanga/magwangala hayaitaji kwenda Nje ya Nchi Kwenda Kuchenjuliwa.

Sales Volume kushuka kwa Kiasi Kikubwa kumepelekea loss katika Mgodi wa North Mara.
Wafunge waondoke
 
Back
Top Bottom