Mgodi wa Geita Gold Mining (GGM ) na saratani ya rushwa

James Kulaba

Member
Jan 28, 2020
6
1
Baada ya kumpa pesa binamu yangu ili akatoe rushwa kwenye kampuni ya kandarasi ya AUMS ambako ilikuwa ni lazima nitoe ili apate kazi sasa nimeona bora niwalipue tu hawa watu kwa kupenda pesa kuliko utu.

Kwanza awali nilitaka ni report PCCB ili wakamatwe baada ya mtego wa rushwa nikaona hiyo itakuwa njia ndefu ambayo tungeanza na mambo ya kesi, bora apate kazi kisha tuchafue hali ya hewa.

Kwa kushirikiana na mwenzangu ambaye sote tulitoa rushwa ili ndugu zetu wapate kazi yaani tuliwapa pesa ili wakahonge (Tulitenda jinai).

Sasa tunamalizia ku edit ushahidi wote wa wahusika ili sisi na mimi mtoa taarifa tusiache alama yoyote ya kujulikana na kisha wiki ijayo nitaweka majina yao wote, namba zao za Simu na Recorded voice za mazungumzo yote pamoja na picha zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ni mbinafsi uliyepitiliza, yaani umeamua kujinufaisha wewe na mdogo wako kwa rushwa, halafu umeamua kuwaangamiza wengine kwa rushwa hiyo hiyo mliyoshiriki wote, halafu umejileta hapa uonekane mzalendo!.

Eti unaandaa ushahidi, bullshit!.

Kama wewe ni mzalendo kweli sacrifice kazi ya mdogo wako mkose wote, lakini sio mdogo wako aanze kulipwa mshahara wakati wewe umesababisha wengine kufukuzwa kazi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada hujielewi hata kidogo. Wewe mtoa rushwa na anaepokea rushwa wote ni mmetenda makosa. Sasa wewe kama ni mzalendo sana au una hofu ya Mungu kweli basi kajishtaki na kumshtaki huyo uliempa rushwa ili wote haki ipate kuwatendea haki.
 
Baada ya kumpa pesa binamu yangu ili akatoe rushwa kwenye kampuni ya kandarasi ya AUMS ambako ilikuwa ni lazima nitoe ili apate kazi sasa nimeona bora niwalipue tu hawa watu kwa kupenda pesa kuliko utu.

Kwanza awali nilitaka ni report PCCB ili wakamatwe baada ya mtego wa rushwa nikaona hiyo itakuwa njia ndefu ambayo tungeanza na mambo ya kesi, bora apate kazi kisha tuchafue hali ya hewa.

Kwa kushirikiana na mwenzangu ambaye sote tulitoa rushwa ili ndugu zetu wapate kazi yaani tuliwapa pesa ili wakahonge (Tulitenda jinai).

Sasa tunamalizia ku edit ushahidi wote wa wahusika ili sisi na mimi mtoa taarifa tusiache alama yoyote ya kujulikana na kisha wiki ijayo nitaweka majina yao wote, namba zao za Simu na Recorded voice za mazungumzo yote pamoja na picha zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukipenda kula..!
Tafadhari bhana usimwage ugali wa watu
 
Mtoa rushwa na mpokea rushwa wote maji ga nyanza
 
Back
Top Bottom