Mgimwa anaendeleaje?

Tutasikia asubuhi hii!kwani anasumbuliwa na nini baba wa watu?mnawapa full minister tena wa Fedha wazee watu hawawezi stress makubwa makubwa kuona nchi iko zero hela zinachotwa kwa matumizi binafsi badala kupeleka matumizi ya nchi kama bajeti inavyosema!anaumia sana na uzalendo wa nchi hii!!anajikuta anaumia ndani hadi ana develop magonjwa makubwa a pressure ma sukari anajifia tu!namkumbuka Kibona nae walim poison baada kukataa kutoa mafungu bila maelezo zinaenda wapi?chezea ufalme wewe!
 
Msemaji wa familia ndugu Joackim Mgimwa ametoa taarifa asubuhi hii kupitia ebon fm kuwa mheshimiwa bado mzima na anaendelea na matibabu. Ametoa taarifa hii akiwa South Afrika ambako mheshimiwa anapata matibabu.
 
Acheni mambo ya kuvumisha kifo. Kila mtu atakufa siyo siri. Tumuombee uzima.
 
Tutasikia asubuhi hii!kwani anasumbuliwa na nini baba wa watu?mnawapa full minister tena wa Fedha wazee watu hawawezi stress makubwa makubwa kuona nchi iko zero hela zinachotwa kwa matumizi binafsi badala kupeleka matumizi ya nchi kama bajeti inavyosema!anaumia sana na uzalendo wa nchi hii!!anajikuta anaumia ndani hadi ana develop magonjwa makubwa a pressure ma sukari anajifia tu!namkumbuka Kibona nae walim poison baada kukataa kutoa mafungu bila maelezo zinaenda wapi?chezea ufalme wewe!

siajiudhuru anangoja nini??
 
...tanzania ni zaidi ya uijuavyo,siendelei,mwenye akili na afahamu...
 
Mh huyu baba kwanza ni mlokole...Mbaya zaidi kuna mtoto wake katoka masomoni UK na akamfanyia harusi huyo kijana haikupita ata mwezi mtoto akapata ajira bank kuu ya tz yani BOT....sasa nikajiuliza ivi huyu mzee na ulokole wake nayeye pia ana mawaa km aya? kaona mtoto wake ndo anasifa za kuajiriwa BOT na je watoto wa waTZ wanaoomba kazi mbona hawapati! mie nakuombea upate nafuu ili uje na wewe upewe barua yako ya utendaji mbovu na kumchomeka mtoto wako ktk kitengo nyeti apo BOT....
 
anaendelea vizuri wanaomuzushia kifo watakufa wao yeye atabaki kuendelea kula bata usimuhukumu mwenzako bila kujua hukumu yako ipoje;;;;
 
Back
Top Bottom