Mgeruman na Mfaransa wanacheza mpira....

Mgeruman na Mfaransa wanacheza mpira....

Sikonge

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2008
Posts
11,633
Reaction score
6,229
Mhhhh, hii dunia tunachanganyika si kawaida.....

2A02E85200000578-0-image-a-32_1435352387650.jpg

French captain Wendie Renard holds off the challenge of Germany's Celia Sasic as the favourites struggled

Hawa ndiyo Wafukuza upepo kutoka Uingereza (UK).

getresource.axd
 
Rugby na South Africa hukoooo nchi ya Afrika kusini.

bok-anthem_1772603i.jpg
 
Sasa unafikiri hivi vidume kama Wizkid vitaweza MIZIGO kama hii? Wanakimbilia viSKIN hadi vikitembea mivupa unasikia inagongana. Midume inayokimbia pia haiwapendi hawa MIZIGO maana kuvua Pichu ni kasheshe. Wanawapenda wale kutoka Eastern Europe akina Azarenka maana wale iko mkononi au hawana kabisa.

By the way, umejuaje kama wanasagana? Wee ni Mwanamke hadi ujuwe hayo? Mbona kuna Scandal nyingi kuwa huwa wanatembea na SemkondoM? Usiwazingizie bana kila walikupiga vibuti na ulivyowafukuza kwenye Chagulaga, wakakuacha mbaali, ukabaki ulimi nje na ZIGO limekukimbia na linakucheka......

Shida ni kwamba wengi wa hawa wafukuza upepo wa -ke wanasagana!! Fuatilia club nyingi utakumbana na hiyo kitu!
 
Sasa unafikiri hivi vidume kama Wizkid vitaweza MIZIGO kama hii? Wanakimbilia viSKIN hadi vikitembea mivupa unasikia inagongana. Midume inayokimbia pia haiwapendi hawa MIZIGO maana kuvua Pichu ni kasheshe. Wanawapenda wale kutoka Eastern Europe akina Azarenka maana wale iko mkononi au hawana kabisa.

By the way, umejuaje kama wanasagana? Wee ni Mwanamke hadi ujuwe hayo? Mbona kuna Scandal nyingi kuwa huwa wanatembea na SemkondoM? Usiwazingizie bana kila walikupiga vibuti na ulivyowafukuza kwenye Chagulaga, wakakuacha mbaali, ukabaki ulimi nje na ZIGO limekukimbia na linakucheka......

Mkuu Sikonge sio utani, wanawake wengi wanaocheza footbal wana tabia za kiume na hawapendi mahusiano ya kimapenzi na wanaume! Ungekuwa mfuatiliaji wa habari zao wawapo kambini ungeelewa na kukubaliana na ninachosema! Kwenye michuano iliyopita yalizuka mengi sana kwenye kambi ya wachezaji kutoka Nigeria hata ikabidi kocha wao ajitokeze hadharani kujaribu kukanusha! Wachazaji wa nchi za Ulaya kama vile Ujerumani hawajifichi hivyo hata kwenye jamii wanajulikana wazi! Wakati mashindano yanayoendelea kule Canada yalipoanza walitoa hadharani taarifa za lesbians 17 (15 players + 2 coaches) ambao hawana shida kujitambulisha hivyo, ili kujaribu kupunguza unyanyapaa kwa wanamichezo ambao ni lesbians! Fanya home work kidogo ya ku-google kisha urudi kuniambia! N.B. Tafadhali sisemi kuwa ni wote!!!
 
Mhhhh, hii dunia tunachanganyika si kawaida.....

2A02E85200000578-0-image-a-32_1435352387650.jpg

French captain Wendie Renard holds off the challenge of Germany's Celia Sasic as the favourites struggled

Leta na Picha ya Wanasaynsi, Wachumi, Wahandisi, Wasanifu nyumba, waliochangayika hivyo Pia!

Ila dada Sasic kaolewa na M-Croatia na kwa Baba hasa anatokea Cameroon.

BTW: Umiangalia Jerry Springet Show, watu wanasema "We Love Lesbians....."

Mkuu Sikonge sio utani, wanawake wengi wanaocheza footbal wana tabia za kiume na hawapendi mahusiano ya kimapenzi na wanaume! Ungekuwa mfuatiliaji wa habari zao wawapo kambini ungeelewa na kukubaliana na ninachosema! Kwenye michuano iliyopita yalizuka mengi sana kwenye kambi ya wachezaji kutoka Nigeria hata ikabidi kocha wao ajitokeze hadharani kujaribu kukanusha! Wachazaji wa nchi za Ulaya kama vile Ujerumani hawajifichi hivyo hata kwenye jamii wanajulikana wazi! Wakati mashindano yanayoendelea kule Canada yalipoanza walitoa hadharani taarifa za lesbians 17 (15 players + 2 coaches) ambao hawana shida kujitambulisha hivyo, ili kujaribu kupunguza unyanyapaa kwa wanamichezo ambao ni lesbians! Fanya home work kidogo ya ku-google kisha urudi kuniambia! N.B. Tafadhali sisemi kuwa ni wote!!!
 
Mwambie Google atakuletea hao wengine. Mie penda sana Mabebiz wenye msuli kama huyu POPP.... dahhh...

Owner wa Gatwick Airport......London.

Leta na Picha ya Wanasaynsi, Wachumi, Wahandisi, Wasanifu nyumba, waliochangayika hivyo Pia!

Last edited by a moderator:
Mwambie Google atakuletea hao wengine. Mie penda sana Mabebiz wenye msuli kama huyu POPP.... dahhh...

Owner wa Gatwick Airport......London.

huyo jamaa post zake nyingi ni kudharau weusi....napata shaka ni mzungu/muhindi/mchina anaejua kiswahiliotherwise atakuwa brainwashed vibaya sana.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe ana dharau huyu Mpuuzi? Ngoja sasa nimwandikie na tena Watanzania......

Son of ex-minister Malima in historic medical discovery
BY GUARDIAN ON SUNDAY CORRESPONDENT
27th July 2014
headline_bullet.jpg
Creates biolom, nanotechnology detector of cancers at early stages
headline_bullet.jpg
Creates firm, Massachusetts governor awards him entrepreneurship prize

Northestaern.jpg

Engineer Dr Asanterabi Malima, son of former cabinet minister and leading economist, the late Prof. Kighoma Malima, is making headlines of his own neither in economics nor in politics.

Dr Malima, a graduate of the Department of Electrical and Computer Engineering and now a postdoctoral researcher in the Northeastern University Center for high rate manufacturing in nanotechnology in the United States, has discovered a disease diagnostic tool that can detect diseases in their early stages.

A report posted at News@ Northeastern that was later shared by the Commission for Science and Technology (COSTECH) to the local media said Dr Malima's passion was always to develop some kind of technology to diagnose diseases earlier.

As he continued with his studies, this vision became a reality when in 2012 together with his fellow Northeastern alumni Cihan Yilmaz, PhD of the 2013 doctoral class and Jaydev Upponi, of the previous year's class, graduates of the Department of Mechanical and Industrial Engineering, and the Department of Pharmaceutical Sciences respectively, designed a device known as Biolom.

Their device is smaller than a pinhead and has the capacity to diagnose a variety of diseases at their earliest stages.

After this, they started a biotechnology firm to commercialize the device they developed at the center under the guidance of the centre's director, Prof. Ahmed Busnaina, the William Lincoln Smith Chair and professor in the College of Engineering.

The biolom device consists of four distinct areas, each optimized to detect a specific biomarker indicating different types of cancer or cardiovascular disease.

"With cervical cancer, a device like this could be invaluable for its ability to quickly and inexpensively improve diagnoses when the cancer is first taking root," the report reads in part.

The team originally developed the device to detect colorectal cancer, but it pivoted to focus on liver cancer after an exhaustive field survey of clinicians, researchers and members of the pharmaceutical industry, it said.

Dr Malima's work has received significant recognition. In June, as part of activities of the Massachusetts Institute of Technology (MIT) activities to mark Africa Week, State Governor Deval Patrick presented the Tanzanian scientist with the state Entrepreneurial Award, honoring his contribution to the state's economic well-​being and vitality.

"Not only does Biolom promise to improve the health and job prospects of the state's residents, but it also has the potential to cure disease in dr Malima's native Tanzania, where cervical cancer is prevalent," the report underlined.

"In more than 50 percent of the patients that have tumors, they are missed," Dr Malima remarked, noting that the reason is that the biomarker that clinicians typically use to monitor for the disease doesn't reach meaningful concentrations until a tumor has grown to significant size. "Usually once somebody develops symptoms, he or she only has about nine to 12 months to live," the scientist was quoted as telling News@ Northeastern.

But, he says, there are other approaches to detecting liver cancer, namely two other less-​​often used biomarkers. The team decided to reconfigure its device to be able to detect all three biomarkers simultaneously. The approach, he said, is expected to bring clinical sensitivity from 50 to 90 percent when the combination of biomarkers is used.

Along the way, Biolom has received support from the Center for Research Innovation, the Health Sciences Entrepreneurs program, and IDEA Northeastern's student-​​run venture accelerator which provided mentoring as well as gap funding to support the clinical validation studies that are now underway.

He said starting a company brought with it its own set of unique challenges, quite distinct from those of any engineering problem that dr Malima had as yet encountered.

"I never thought of myself as an entrepreneur," Dr Malima intoned. He expected to be the brains in the background, quietly tinkering away at large firms like Toshiba, where he worked for several months before pursuing his graduate education at Northeastern.

Instead he's working at the cutting edge of an industry that promises to change the face of disease diagnosis as we know it.

Dr Malima is quoted as having said that everyone in his family was in politics and therefore people who knew him the country expected he would keep with the "family business" (politics) "but my father's early passing set me on a different course."

"My passion was always to develop some kind of technology to diagnose diseases earlier, to come up with something that wouldn't save my father, since he'd already passed away, but may save somebody else's parent," Dr Malima said.

The Guardian on Sunday tried to reach his brother Adam Malima, the Deputy Minister for Finance to get a word from him as to the US exploits of his younger brother and the feeling in the family but in vain.

News@ Northeastern only stated that Asanterabi Malima's father died aged 57 when Asanterabi was 15 years old. The late minister was not named directly in the report but it said that he was "an accomplished scholar and served as minister in the Tanzanian government."

Speaking with The Guardian on Sunday yesterday, Dr. Flora Tibazarwa, the director of Life Science at the Tanzania Commission of Science and Technology (COSTECH) and acting director general said COSTECH was aware of Dr Malima's discovery.

COSTECH was ready to link him with local research institutions for trials after which they will see what can be done at the local level, not that Dr Malima had formed an enterprise in the US for the purpose.

"We have the reports about Dr Malima's success but as of now we cannot say much as the discovery has not gone through trials and publishing of clinical results, but it is really good news," she said.

Any success in discovery is a step ahead in dealing with major diseases like cancer, she said, noting that COSTECH signed a memorandum of understanding (MoU) with the Northeastern Center for High Rate Nanomanufacturing, where Dr Malima is currently attached to.

The MoU would enable COSTECH to assist the researcher if and when he would be carrying out projects in the country, the director added.

SOURCE: GUARDIAN ON SUNDAY
huyo jamaa post zake nyingi ni kudharau weusi....napata shaka ni mzungu/muhindi/mchina anaejua kiswahiliotherwise atakuwa brainwashed vibaya sana.
 
Kama kuna JITU linafikiri Weusi huko Majuu hawafanyi vitu vyao, hata HUYU Hawamuoni?

first-visit-to-kenya-copy.jpg
barack-obama-12.jpg
 
Kama kuna JITU linafikiri Weusi huko Majuu hawafanyi vitu vyao, hata HUYU Hawamuoni?

first-visit-to-kenya-copy.jpg
barack-obama-12.jpg

kuna doctor mmoja specialist wa damu juzi juzi tu katoka kuwapa shule huko marekani kwa mwaliko maalum kwa sababu ya uwezo wake...yuko muhimbili hapo!
 
Mkuu, hata Prof. Muhongo hadi kesho German wanamtaka pamoja na nchi nyingine.

Huyu Diarra, watu wa MALI walipiga sana KELELE wakati chombo cha Pathfinder kimetua kwenye sayari ya MARS.

Cheikh Modibo Diarra: NASA's First African Astrophysicist

Cheikh Modibo Diarra
NASA's First African astrophysicist and key player in the exploration of Mars with the Pathfinder and Sojournerprojects, Cheikh Modibo Diarra is without doubt a brilliant scientist. As a physicist from similar background, this Malian scientist has inspired me by his intelligence and hard work. Cheikh Modibo Diarra earned his baccalaureate in Mali; he then went on to study mathematics, physics and analytical mechanics at the Pierre and Marie Curie University in Paris. After a while, he got bored by his classes (a sign of genius?) and went on an adventure exploring the world, and ended up in the USA at a friend's invitation. He then attended Howard University in Washington DC where he earned a PhD in aerospatial engineering. Later, he taught at Howard as a physics professor, until one day he met two recruiters fromJet Propulsion Laboratory (a NASA Lab) in the corridor of his building. That's when his career with NASA started. Recruited as NASA's first African researcher, Diarra participated in programs such as the Magellan probe to Venus, theUlysses probe to the Sun, the Galileo spacecraft to Jupiter, the Mars Observer and theMars Pathfinder. He later became the director of NASA's "Mars Exploration Program Education and Public Outreach."
The Sojourner rover
In 1999, he created the Pathfinder Foundation for the education and development of Africa. Three years later, he founded the solar energy research laboratory of Bamako in Mali. He is involved in programs for the development of Africa. On the 20th of February 2006

mkuu wapo wengi sana...ndio maana huyo jamaa post zake huwa nasoma nakuzipita tu! ndio maana nahisi sio mweusi kama sisi vinginevyo angejua wapo watu weusi wanaofanya vitu vya maana huko huko kwa wazungu.
 
Back
Top Bottom