Mgeni

oltukai

Member
Mar 21, 2012
8
3
Habari za Leo wakuu.
Mimi ninaitwa Loth Oltukai. Ni mwanafunzi katika shule ya kimataifa ya Isamilo School Mwanza.
Nifuraha yangu kuweza kuwa mmoja Wa jamii hii. Naipenda Sana nchi yangu na ningependa kuwa mmoja Wa watu Wa kuleta mabadiliko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom