Mgeni Njoo Mwenyeji Apone

Barabara Yakarabatiwa Kwa Ujio wa Kinana
 
Hivi gharama za hii ziara zinalipwa na kukaguliwa na nani?
 
huyo mama ni very loyal lazima akapige kura chezea kumuona katibu tena kakupungia ha ha ha haha
 
Hivi gharama za hii ziara zinalipwa na kukaguliwa na nani?
Mkuu hata Mimi ninajiuliza kila siku hizi ziara nani mlipaji? Kuna ziara zipo North South East na West ya Tanzania yote kila siku. mfano Lukuvi sijui yupo wapi kinana ndiye mtalii sijui kuanzia mwaka gani yupo ziarani kweli jamani mnatuumiza mnoooo muwe na huruma na pesa mnazofuja. Kwani tulichagua wabunge wa nini?? Kila siku waziri m..v.... Yupo ziarani na ziara zenyewe zina msafara wa magari hayahesabiki. Leo tunasema hatuna pesa wakati safari zenu haziishi. Hii laana itaisha lini?
 
​
Amavubi mimi nilifikiri hivi! .. LOL!




 
Last edited by a moderator:
Chenge hana aibu, huyu amekubuhu. Conscious imeshakufa, kwake baya, zuri vyote sawa
 
Mi huyo mama tu na sare amekaa akisubiri apunge mkono.
Wakati mwingine nafikiria kwamba kukosa entertainment kunasababisha baadhi ya watu kuona vitu hivi kama burudani. Kuna wanawake kama hajaalikwa harusini basi tena, wanalipizia kwa sherehe za vyama... Huko mitaani vikija vitu hivi kama wamepagawa vile...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…