Mgeni nikaribisheni

Mgeni nikaribisheni

JOHN Q

Member
Joined
Mar 5, 2013
Posts
8
Reaction score
2
Wana jamii mi mgeni mnikarbishe ka kuna totozi washikaji napende tubadilishane mawazo...
 
JOHN Q...
Njoo fasta nikukague kabla hujaingia dimbani.
 
Last edited by a moderator:
Mmmnh... mbna mwandiko wako sio mgeni machoni pangu...!!?
 
Kwanza tupe habari zako za nyuma!
-- Ulishawahi kufungwa?
-- Ulishawahi kufumaniwa?
Kama bado je? Kufumania?
Majibu ya hapa yatatoa taswira yako, kwamba wafaa/hufai .
 
Kwanza tupe habari zako za nyuma!
-- Ulishawahi kufungwa?
-- Ulishawahi kufumaniwa?
Kama bado je? Kufumania?
Majibu ya hapa yatatoa taswira yako, kwamba wafaa/hufai .

Majibu yako yote ni NDIO moja tu umesahau kuniuliza nishawahi kumuua mkwe ambaye alikataa nisimuoe mtoto wake af nimesikia una mtoto nataka kuja kuoa kwenu.
 
Last edited by a moderator:
Majibu yako yote ni NDIO moja tu umesahau kuniuliza nishawahi kumuua mkwe ambaye alikataa nisimuoe mtoto wake af nimesikia una mtoto nataka kuja kuoa kwenu.

True i have ma'dota, bt still yet kananyonya kifuani utakasubiri? Hadi kawe tayari kwa matumizi?
 
Asante sweetlady nitokako ni salama wote wanawasalimu.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom