Habari wana JF? Nimefurahi kuwa mgeni wenu leo. Natumaini tutaendeleza libeneke kama kawa.
Karibu sana mkuu VSM.....Pita hadi ndani sebuleni!
Lakini please, usisahau kubisha hodi na kule kwa Maxence Melo....uchangie chochote (ni hiari) ili ka jamvi ketu kasife!

Wamkaribisha mgeni kwa michango?
Kazi kweli kweli.