Huyo ni friends of Lowasa. Waandishi wa habari nao hawakuliona hilo? Pia wangehoji yeye amekula ngapi?
Waganga wa jadi wabaya sana. ndivyo walivyomuelekeza!!!!
Mbona Fergie alikuwa anaelekeza uwanjani huku akitafuna big G, Acheni uonevu

Bila hata kuzungumzia hoja yake, lakini Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Hamisi Mgeja ni mtovu wa adabu kwa kuwa alikuwa akizungumza na waandishi wa habari na akijua kuwa kwa kupitia wao atakuwa akizungumza na Watanzania, alikuwa akitafuna bazoka!! Achilia mbali waandishi na wananchi, lakini mtu mwenye adabu na heshima zake hawezi kuzungumza na mwingine huku akiwa anatafuna Big-G!!
Source: ITV News hivi punde tu.
Mbona Fergie alikuwa anaelekeza uwanjani huku akitafuna big G, Acheni uonevu
Hapo sio mtomvu wa nidhamu ila anaonyesha jinsi anavyotafuna fedha alizopewa na Lowassa na sasa anawashawishi viongozi wa dini nao watafune kama yeyeBila hata kuzungumzia hoja yake, lakini Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Shinyanga Hamisi Mgeja ni mtovu wa adabu kwa kuwa alikuwa akizungumza na waandishi wa habari na akijua kuwa kwa kupitia wao atakuwa akizungumza na Watanzania, alikuwa akitafuna bazoka!! Achilia mbali waandishi na wananchi, lakini mtu mwenye adabu na heshima zake hawezi kuzungumza na mwingine huku akiwa anatafuna Big-G!!
Source: ITV News hivi punde tu.