Mgawo warejea...

Sie huku kwetu umeme usipokatika siku hiyo.......mbona tutashukuru sana?!!
ndugu yangu Kipipi , wajua sisi tupo karibu na shamba la umeme , ivyo haukati ovyo mpaka kipindi cha mgao , sasa mgomo ukianza ka mashine kangu ka kusaga hakata fanya kazi ntakosa pesa ya kulisha watoto
 
Last edited by a moderator:
Mi nimefikiri ni hitilafu kumbe ndio ule upuuzi wa kizembe umeanza!

Tangu saa nne usiku hatuna mpaka sasa hatunaga umeme!

Mkuu umeme umesharudi, nadhani ilikuwa ni tatizo la kiufundi japo inaonekana ni maeneo mengi yalikumbwa na dhuroba hiyo.
 
Pande za huku morogoro manispaa umekatika jana saa moja jioni na kurudi saaa tano usiku, basi hii ilikuwa nchi nzima. Hebu watupashe ni mgao au kulikuwa na tatizo la kufundi kama sio ugaidi??
 
Kwa taharifa kutoka chanzo kimoja cha tanesco, maji yamepungua kwenye mabwawa ya kuazalishia umeme, hivyo mgao kama kawaida umerejea.
 
Back
Top Bottom