Midimay
JF-Expert Member
- Apr 12, 2015
- 3,086
- 5,143
Itaongeza mzigo kwa walipa kodi. Ndio maana wakenya wanapambana na Punguza mzigo. Haitakiwi utawala uwe mzigo kwa walipakodi bila sababu. Lakini pia utatengeneza nafasi ya Rais kumteua mwakilishi wake mkoani mbadala wa RC. Kenya kwenye county wana senator, Governor na County Commissioner (RC).Rais hawezi kuacha kuwa na mwakilishi mkoani.Hili la kama si kuwaondoa WAKUU WA MIKOA AU wachaguliwe na wananchi lingepita ningefurahi binafsi.
Maana wanasimama kama maiki ya raisi yenye kukoromakoroma haichuji sauti.
Mh. RAISI sijui huwa anausikia huo mkoromo katika maiki zake.