Mgao wa umeme unaoendelea nchini ni kipimo tosha cha upuuzi wa baadhi yetu Watanzania, kwa kukipigia kura chama cha kipuuzi, kilichojaa sera za kipuuzi, kinachoongozwa na viongozi wapuuzi, wenye mawazo ya kipuuzi na mimi kwa kuwa siyo mpuuzi na wala sina mawazo ya kipuuzi, sikufanya kosa la kipuuzi kuchagua chama hiki cha kipuuzi (CCM) katika chaguzi zote mbili za mwaka 2005 na 2010 kwa sababu mimi huwa sipendi kabisa unafiki wa kipuuzi kupewa fulana na kofia kipuuzi na kutoa kura yangu kipuuzipuuzi namna hiyo.
sipendi upuuzi mimi na familia yangu yote kuanzia wazazi wangu niliwaambia wasifanye upuuzi kuchagua chama cha kipuuzi CCM.