Mgao wa umeme unaoendelea nchini ni kipimo tosha cha uhovyo wa sera za CCM! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mgao wa umeme unaoendelea nchini ni kipimo tosha cha uhovyo wa sera za CCM!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kingcobra, Feb 16, 2011.

 1. Kingcobra

  Kingcobra JF-Expert Member

  #1
  Feb 16, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,008
  Likes Received: 137
  Trophy Points: 160
  Watanzania tungekuwa wazalendo wa kweli tunaoitakia mema nchi yetu, tusingeiruhusu ccm kwa mara nyingine tena iendelee kushika usukani wa uongozi wa nchi hii. Wakati wa uchaguzi wa mwaka jana tungetulia hata kwa nusu saa tu na kutafakari kwa kina namna ccm ilivyoshindwa kututatulia shida zetu ndani ya miaka 33 ya uongozi wake, sidhani kama ccm ingerejea madarakani. Sasa tunaona jinsi tunavyohangaika na mgao wa umeme katikati ya rasilimali nyingi za kuzalishia umeme ambazo kwa nchi zingine ni vigumu hata kuziwazia! Kwangu mimi, mgao wa umeme unaoendelea ni kipimo tosha cha uhovyo wa sera za ccm. Wanastahili waondolewe madarakani kwa njia yoyote ile.
   
 2. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #2
  Feb 16, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,174
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  Mgao wa umeme unaoendelea nchini ni kipimo tosha cha upuuzi wa baadhi yetu Watanzania, kwa kukipigia kura chama cha kipuuzi, kilichojaa sera za kipuuzi, kinachoongozwa na viongozi wapuuzi, wenye mawazo ya kipuuzi na mimi kwa kuwa siyo mpuuzi na wala sina mawazo ya kipuuzi, sikufanya kosa la kipuuzi kuchagua chama hiki cha kipuuzi (CCM) katika chaguzi zote mbili za mwaka 2005 na 2010 kwa sababu mimi huwa sipendi kabisa unafiki wa kipuuzi kupewa fulana na kofia kipuuzi na kutoa kura yangu kipuuzipuuzi namna hiyo.

  sipendi upuuzi mimi na familia yangu yote kuanzia wazazi wangu niliwaambia wasifanye upuuzi kuchagua chama cha kipuuzi CCM.
   
 3. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #3
  Feb 16, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Duuu mzee, umekamua siyo mchezo. Ila nakubaliana na wewe kwa yote uliyoandika. Generally, hiki chama ni cha kipuuzi. Bahati mbaya watanzania walio wengi hawajatambua hilo.
   
 4. Ney wa Barca

  Ney wa Barca JF-Expert Member

  #4
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  uko sawa kabisa mkuu hiki (Chama Chakachuani na Mafisadi) sio kabisa haya ndio maisha bora kwa kila mtanzania na wakati ajira zetu wengine zinategemea umeme tutaishi vp! haya ndio matokeo ya kanga, tshert na kofia kisha tunakubali kuchakachuliwa
   
 5. F

  Fahari omarsaid Member

  #5
  Feb 16, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 93
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wacha niwape story DINGI yangu CCM ile mbaya c ndo majuzi nikamuuliza mzee ulisema sera za CCM zinatekelezeka vp ktk vipaombele vya mkwere alisemaje kuhusu umeme ::: alitoa macho km kijusi alobanwa na mlango ndipo hapo nikaamini UMRI WA M2 KTK MAISHA C JAMBO LA MSINGI BT ANGALIA AKILI YAKE
   
 6. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #6
  Feb 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu baada ya hii miaka mitano ya taabu kuu kila mtanzania atakuwa ashatambua, kwani haya matatizo hayaangalii mtu!!!!
   
Loading...