Mgao wa umeme umeanza rasmi leo Dar

Mgao wa umeme umeanza rasmi leo Dar

jembelamkono

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
2,733
Reaction score
2,016
Wakuu,

Tukiwa tunaelekea kwenye ndoto ya Tanzania yenye viwanda, kuanzia juzi tarehe 24/11/2015 kumekua na mgao wa umeme wa masaa zaidi ya nane kwa siku,na hivi ninashuhudia maeneo mengi ya, Kurasi, Changombe, Mbagala, Kigamboni na mengineyo hayana umeme na jana pia ulikatika kwa takribani masaa 6.Ieleweke maeneo niliyoyataja ni maeneo yenye viwanda vingi,hivyokuathiri sana uzalishaji.

Natoa rai wale wenye acces na Mh JPM wamwarifu tu kabla hajaelekeza ndoto zake kwenye viwanda,aeleze kwanza akili yake TANESCO,apambane na issue sugu za mitambo ya kuzalisha umeme kwenza.

Wasalam.
 
huku mwanza tulishazoea hakuna umeme for ever
 
ARUSHA tumeshazoea walete umeme wasiletee poa tuu .
 
Kuendesha nchi na kuleta maendeleo kwa watu si jambo lakitoto......Mapadlock atafute watu wakini kumsaidia vinginevyo atachoka mapema.
 
Nikuunge mkono,huku Ar ndo haswa kitendawil,nahisi mvua zinanyesha ila bd hawajazungumzia,kaulimbiu ya sasa ni umeme wa gesi,sfahamu kama ile mitambo ya maji bado ipo........!?
 
Kuna wizara na sekta zinawafanyakazi sugu sana,tingatinga anatakiwa awaangalie hawa kwa jicho la tatu.
 
Wakuu,

Tukiwa tunaelekea kwenye ndoto ya Tanzania yenye viwanda, kuanzia juzi tarehe 24/11/2015 kumekua na mgao wa umeme wa masaa zaidi ya nane kwa siku,na hivi ninashuhudia maeneo mengi ya, Kurasi, Changombe, Mbagala, Kigamboni na mengineyo hayana umeme na jana pia ulikatika kwa takribani masaa 6.Ieleweke maeneo niliyoyataja ni maeneo yenye viwanda vingi,hivyokuathiri sana uzalishaji.

Natoa rai wale wenye acces na Mh JPM wamwarifu tu kabla hajaelekeza ndoto zake kwenye viwanda,aeleze kwanza akili yake TANESCO,apambane na issue sugu za mitambo ya kuzalisha umeme kwenza.

Wasalam.

uwe unafatilia habari,sio kuangalia muzik tu na x
 
Kama nchi yetu inataka maendeleo ya kweli lazima tuhakikishe umeme wa kutosha unapatikana wakati wote. Kama tuliambiwa umeme ulikuwa haupatikani kwa vile mabwawa yalikauka mbona mvua sasa zimeshanyesha? Na gesi si imeshaunganishwa kwenye mitambo ya kufua umeme? Tanesco tuambieni. Kwa nini bado tunakosa umeme?
 
Back
Top Bottom