Mgao wa umeme umeanza hapa Mwanza?

Mgao wa umeme umeanza hapa Mwanza?

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,523
Maeneo mengi hapa hakuna umeme. Hivi mgao wa umeme umeanza tena? Tulikwisha sahau kama kuna mgao wa umeme. Kama umeanza basi mtuarifu tufufue majenereta yetu.
 
Hii kitu inakera sana yaani kuna mgao ya kimya kimya karibu kila siku na jumapili unakuta wakati mwengine umeme haupo siku nzima
 
Mbona Dar kila siku lazima ukatike
 
Bongo umeanza leo itakuwa hii kampuni ya kuuza ma jenereta ambayo mmiliki wake ni Daudi wa kolomije ndio wameanza hivyo kama Yale ya bodaboda na fire extinguisher sijui iliishaje.
 
Wajane wa mwendazake njooni huku.

Kuna mtu anafukua makaburi ya kuichafua legasi.
 
Arusha unakatika Kila siku....utafikiri tulimt.omba mke wa meneja wa tanesco
 
Tunamshukuru sana Mhe. Rais alipofika hapa jana Mwanza umeme ulikuwepo siku nzima, usiku mzima lakini leo tangu asubuhi umeme haupo labda mpaka jioni.
 
Back
Top Bottom