Mgao wa umeme ulikua halali?

Mjasiria Akili

JF-Expert Member
Sep 24, 2012
823
371
Wanajamvi nimekua najiuliza sana hivi ni kweli ule mgao wa umeme haukua wa kutengeneza?
Kwa mfano kwa huu ukame uliopo sasa tungekosa kuambiwa mabwawa yanayozalisha umeme yamekauka? Kumbe walikua wanayafungulia maji yaende kwenye mashamba ya watu makusudi dhumuni lao ilikua yakauke waanze kuagiza makampuni yaje kuzalisha umeme wa muda wakishirikiana na kina iptl watuibie hela zetu. Rasmi nimeamini hakujawahi kuwa na magao wa kweli
 
Back
Top Bottom