ichukue uondoke nayo pasipojulikana..😁hii ndio TANZANIA.......NINAYOIPENDA......
Uwe hujui Moshi vizuri kipindi cha JK ukifika mwezi wa sita umeme unasumbua maji week nzima yanakua hakuna watu kalibia wote walikuwa wana enda ccp au line policeKwahiyo unadhani MOWASSA wanafanya makusudi au vipi?
Magufuli alileta upatikanaji wa maji wa uhakika 100pc usioweza kuathiriwa na mabadikiko ya tabianchi?
Mto Ruvu umeuona?
Nadhani ungeleta ajenda ya taifa kutafuta vyanzo vingi vipya vya maji...hii yakuanza kusema Magufuli was the best president ever halisaidii chochote maana hata kabla ya Magufuli Moshi haikuwa na shida hii ya maji inayoonekana sasa.
Kwanini ilikuwa mwezi wa sita na miezi mingine yanatoka?Uwe hujui Moshi vizuri kipindi cha JK ukifika mwezi wa sita umeme unasumbua maji week nzima yanakua hakuna watu kalibia wote walikuwa wana enda ccp au line police
Alivyo ingia magufuli matatizo yote yalipungua kama sio kuisha kabisa umeme ukikatika lazima watangaze
Kwangu mimi bora magu
Hatupo dodoma unajua, tupo chini ya mlima kilimanjaro boss kuna mito kama yotePoleni, maji kutoka machafu ni tatizo ila kwa jua lililopo mgawo lazima
Upo aise umeanzaIla umeme kweli wanakata sana.... yaaani hadi keroo tangia mwaka jana. Kuhusu maji sijashuhudia labda kama week hii ndo wamekata ila kuanzia week iliyopita ambapo ndo nlitoka moshi ijumaa sijawahi kuona mgawo wa maji rau
Kila aliyeshangilia 17/3/2021 atafikiwa kwa muda wake na atajuta sana tuTanesco wamezidi sana kuanzia weekend umeme unakatika ikifika saa tatu usiku na unarudi usiku wa manane, watu wengine shughuri zetu tunafanya usiku pia kuna viwanda vinavyofanya kazi hasa kipindi cha usiku
Shida nyingine maji yakatika sana hasa mitaa ya KCMC na rau, ivi ninavyo andika hapa Rau hakuna maji, yanarudi usiku wa manane tena sio safi yanakuwa na tope la kutosha na yanatokakwa muda wa masaa 3 au 2. Moshi kuna mito yakitosha, waafrika na selikali zetu sijui tunashida gani hapa nchini ya jua[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Magufuri huko uliko tusamehe sana kwa kukusema vibaya, ulikuwa bora kuliko maraisi wote waliopita na aliyepo kwa sasa
Makamba na Tanesco wanatuingiza kwenye mikataba ya hovyo na wemeanza kuzurula kwenye nchi za watu baba
Kungekuwa na uwezekano ungeamka hata kidogo
Nawasilisha
Tanesco wamezidi sana kuanzia weekend umeme unakatika ikifika saa tatu usiku na unarudi usiku wa manane, watu wengine shughuri zetu tunafanya usiku pia kuna viwanda vinavyofanya kazi hasa kipindi cha usiku
Shida nyingine maji yakatika sana hasa mitaa ya KCMC na rau, ivi ninavyo andika hapa Rau hakuna maji, yanarudi usiku wa manane tena sio safi yanakuwa na tope la kutosha na yanatokakwa muda wa masaa 3 au 2. Moshi kuna mito yakitosha, waafrika na selikali zetu sijui tunashida gani hapa nchini ya jua[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Magufuri huko uliko tusamehe sana kwa kukusema vibaya, ulikuwa bora kuliko maraisi wote waliopita na aliyepo kwa sasa
Makamba na Tanesco wanatuingiza kwenye mikataba ya hovyo na wemeanza kuzurula kwenye nchi za watu baba
Kungekuwa na uwezekano ungeamka hata kidogo
Nawasilisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]kipande cha manyelez sioUpo aise umeanza
Kumbe wewe jirani angu kabisa aise karibu siku nyingine ukija moshi