Mgao wa umeme Morogoro na Mikoa mingine

Mgao wa umeme Morogoro na Mikoa mingine

radika

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20,450
Reaction score
32,290
huko kwenu vp mikoa mingine hapa morogoro hali tete mgao upo tena mkubwa
 
Huu mgao unakera sana, unajikimu mapema kufanya kazi zako jamaa nao wanafanya yao. Kibaya zaidi kwa hapa Morogoro wanakata bila utaratibu, nusu saa upo masaa mawili haupo.
 
Mbona hawatangazi kwamba mgao ushaanza ili tujipange na vibatari vyetu! Wasione aibu kutangaza. Huku arusha jana walikata siku nzima na hadi leo hii; mda huu naandika hapa hatuna umeme.
 
Shinyanga wiki ya pili ni shughuli ya kukata umeme kila siku
 
Hii kitu ni nchi nzima, wanatengeneza frustrations kwa wananchi ili wawashe yale MAJINI YA IPTL wapige hela.
 
Nadhani mgao umeanza rasmi au Kuna matengenezo coz sehemu nyingi zina tatizo la umeme kwa sasa.
Maisha bila umeme hayaendi kabisa...!
 
naona wanaanza kutengeneza pesa ss kupitia mgao wa umeme nchi hii
 
huko kwenu vp mikoa mingine hapa morogoro hali tete mgao upo tena mkubwa


Dodoma pia upo, hawasemi wala nn. Wanakata kimtaa (kuanzia saa moja ya asubuhi hadi saa moja ya jioni). Yaani ukiwajua unaweza ukawauwa kabisa!!maana wanakera sana hawa watu!!!!!
 
Manyara huku umeme upo 24/7 huo mgao tunaskia kwenu
 



Labda wanataka kupiga zengwe

Maana gizasco kwa mgao feki hawajambo
 
Back
Top Bottom