Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,008
- 142,676
Maza anaupiga mwingi…Inasikitisha Sana.
Nashawishika kuamini unachosema….Unafikiri hiyo ndio sababu? Sasa hivi tukubali yote yatayokuja, kwa kuwa waziri mwenye dhamana yupo kimkakati
Huu mgao mpya utaanza lini kwa maana tayari tuna mgao kuanzia siku ile january Makamba alipoteuliwa kuwa waziri wa nishati badala ya Kalemani.Inadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.
Sababu ya huo mgao eti ni matengenezo ya mitambo yao ya wapi wapi huko sijui…
Sasa kwa akili zangu hizi za kidato cha nne, ni kama vile sielewi elewi.
Mbona nchi zingine huwa hakuna migao inayosababishwa na matengenezo ya mitambo ya umeme?
Au zipo? Kama zipo, basi sawa. Ila kwa nchi nizijuazo mimi, kamwe hata mara moja sijawahi sikia eti kutakuwepo na mgao au migao ya umeme kwa sababu mitambo ya kuzalisha au kusambaza umeme inafanyiwa ukarabati.
Hao wenzetu wao mitambo yao huwa haihitaji ukarabati? Kama huwa inahitaji ukarabati, wanawezaje kuepuka migao ya umeme?
Kwa nini sisi kila mitambo inapohitaji ukarabati [ kama ni kweli inahitaji huo ukarabati] basi kunakuwepo na mgao?
Manake hili si jambo geni. Limekuwepo siku zote. Sasa miaka yote hii hawa watu hawajaweza tu kubuni namna ya kuikarabati hiyo mitambo bila kuleta usumbufu wa migao?
Tanesco….and whoever else involved….seriously????
Mgao juu ya mgao!Huu mgao mpya utaanza lini kwa maana tayari tuna mgao kuanzia siku ile january Makamba alipoteuliwa kuwa waziri wa nishati badala ya Kalemani.
Hajui afanye nini!Maza anaupiga mwingi…
Haha kuuza ving'amuzi na kuendesha shirika linalohitaji wahandisi wabobezi ni vitu tofauti,Maharage na Makamba hawaiwezi Tanesco, wao wapo kuitwisha Tanesco kwa mikopo isiyo na tija kisa kaasilimia fulani.Kwan MaEngineer wa tanesco wao wanasemaje.?
Maharage ni muhuni Tu sio wakumsikiliza
Chadema sometime kina tabia ya ovyo SanaSafi sana!
Mama anafungua nchi!
Tuliaonewa sana kwa miaka 5!
Tunapumua!
Mkuu inaonekana umerudi bongo tuisome namba kwa pamojaInadaiwa mgao wa umeme unakuja. Inadaiwa unaanza tarehe 1 mwezi ujao wa Februari.