Siku mbili zilizopita nilikuwa Arusha. Sehemu kubwa ya jiji ilikuwa giza totoro. Tanesco emergency wakipigiwa simu wanasema kuna tatizo la ufundi na mtarudishiwa umeme baada ya nusu saa. Nusu saa hiyo haikufika hadi usiku wa manane. The other day, nikaamua kwenda ofisi za Tanesco nikafahamu ni nini kimejiri hadi jiji kuwa gizani siu zote mflulizo vile.
Nilipokuwa pale ofisini ndipo nilipoambiwa kwamba kuna low power supply toka Ubungo.
Ni suala la kitaifa na wala Tanesco Arusha hawana uwezo nalo.
Niakuliza ni kwa nini sasa wanawaambia watu matengenezo ya mitambo kila siku huku wakijua ni uwongo. Kwa nini wasitangaze mgawo wakatoa na ratiba ili kupunguza mateso kwa wananchi?
Tuliongea kwa kina na niliyemkuta pale kwamba, kufanya mgawo kisiri siri huku mkiwaongopea watu siuungwana. Waambieni watu ili wapange shughuli zao za uzalishaji mali kama ni kutafuta generators, kama ni ku reschedule ratiba za kazi ama kama ni kupunguza wafanyakazi, au diversification ya shughuli, kuliko kuwaweka kwenye suspense kumbe ninyi mnajua hakuna uwezekano wa wao kuzalisha kwa siku kadhaa ama kwa muda fulani.
Nilichoambiwa ni kwamba hata wao hawajui nini wakubwa wanafikiria.
Kwa hiyo, kama kawaida ya seriakli, inaogopa kuwapa watu taarifa za ukweli kwa sabbu wahenga walisema "mzoea vya kunyonga, vya kuchija haviwezi", .. Seriakli imezoea haram. Kwa hiyo watu wa Mwanza na kwinginepo manpoona mauza uza ya umeme, jitafutieni kama mnaweza njia mbadala kwa sababu huu ni mgawo ila seriakli ya ccm itaendelea kutoa uwongo uwongo tu kwa sababu ndiyo kawaida yake. Lakini ukweli ni kwamba seriakli hainauwezo wa kutoa umeme wa kutosheleza mahitaji yenu.
Angalizo. Na kwa kuwa sasa ccm wamekwiba fedha zote kiasi hata dawa za wagonjwa hakuna, tutegemee heavy blow kwenye suala la nishati.
Hii ndiyo seriakli ya ccm.
Hii ni hali ya hatari huku Mwanza kwa sasa.ie
Kwa takribani wiki mbili sasa kumekuwa na mgao mzito wa umeme jijini.
Alafu si TANESCO wala WIZARA ya MUONGO wanajisumbua kututangazia kuwa na mgawo watu tujipange jinsi ya kuishi.
Jamani TANESCO au Wizara husika tangazeni rasmi mgao Mwanza angalau tuwashukuru coz tushazowea.
By the way hivi hizo hela za ESCROW ndo wamegawana kabisa na hata hawataki kusemwa hawa watu duuuh!!
Huu MGAO sijui utaisha lini nchi hii aaaagh...!!!