Kutokana na uchakavu wa mitambo bla bla bla... mgao wa umeme kuanza nchini kote kuanzia saa 12 jioni hadi saa nne (+or -) .. bla bla bla..
Habari ndiyo hiyo.. miradi ya Jenereta iko juu! Hatimaye salimu amri mnunue majenereta ya Dowans kwa Bilioni 69 ambayo mmeshawalipa bilioni karibu 40 kuyasafirisha!
kama nakumbuka vizuri, muungwana si alisema kuwa mgao utakuwa historia? au sikumwelewa?
Kutokana na uchakavu wa mitambo bla bla bla... mgao wa umeme kuanza nchini kote kuanzia saa 12 jioni hadi saa nne (+or -) .. bla bla bla..
Habari ndiyo hiyo.. miradi ya Jenereta iko juu! Hatimaye salimu amri mnunue majenereta ya Dowans kwa Bilioni 69 ambayo mmeshawalipa bilioni karibu 40 kuyasafirisha!
Kwani alishawahi kueleweka?! Maisha bora kwa kila mtanzania yako wapi?
Afisa mawasiliano nae anasema kwa tabasamu ooh gharama za uendeshaji ni ngumu na mitambo ni chakavu pia tunazalisha kwa hasara hatuna faida ndo maana tunakumbwa na tatizo hili..Mmmh
hapa nilipo kila siku umeme unakatika hata kwa masaa 10 na zaidi habari ya mgao imeniacha hoi kwani mie nilijua mgao ulishaanza long time ..
Please can someone put Tanesco's strategic plan here? seems alot of excuse to defend the truth, when are we going to have reliable power supply in the country?Kutokana na uchakavu wa mitambo bla bla bla... mgao wa umeme kuanza nchini kote kuanzia saa 12 jioni hadi saa nne (+or -) .. bla bla bla..
Habari ndiyo hiyo.. miradi ya Jenereta iko juu! Hatimaye salimu amri mnunue majenereta ya Dowans kwa Bilioni 69 ambayo mmeshawalipa bilioni karibu 40 kuyasafirisha!
wakati mwingine huwa natamani kuikimbia nchi yangu..lakini..
Labda iko siku isiyona jina mambo yatakuwa shwari .
Tufunge na kuomba 😡
Kutokana na uchakavu wa mitambo bla bla bla... mgao wa umeme kuanza nchini kote kuanzia saa 12 jioni hadi saa nne (+or -) .. bla bla bla..
Habari ndiyo hiyo.. miradi ya Jenereta iko juu! Hatimaye salimu amri mnunue majenereta ya Dowans kwa Bilioni 69 ambayo mmeshawalipa bilioni karibu 40 kuyasafirisha!
Maumivu tunayapata. Lakini tumepigwa ganzi hatuyasikii. Uchaguzi unakuja; na hawa hawa wanaotuletea maumivu na kutuongezea ufukara tutawachagua tena.
Miafrika bana. Kazi kweli kweli.