Mgao kuanza!

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987
Kutokana na uchakavu wa mitambo bla bla bla... mgao wa umeme kuanza nchini kote kuanzia saa 12 jioni hadi saa nne (+or -) .. bla bla bla..

Habari ndiyo hiyo.. miradi ya Jenereta iko juu! Hatimaye salimu amri mnunue majenereta ya Dowans kwa Bilioni 69 ambayo mmeshawalipa bilioni karibu 40 kuyasafirisha!
 
well n good! tuachieni bongo yetu! tutabanana hapa hapa!
 
Kutokana na uchakavu wa mitambo bla bla bla... mgao wa umeme kuanza nchini kote kuanzia saa 12 jioni hadi saa nne (+or -) .. bla bla bla..

Habari ndiyo hiyo.. miradi ya Jenereta iko juu! Hatimaye salimu amri mnunue majenereta ya Dowans kwa Bilioni 69 ambayo mmeshawalipa bilioni karibu 40 kuyasafirisha!
Uanze mara ngapi?
 
Kazi ya kuwabana mafisadi na mbinu zao bado na mbichi. Uzembe kama huu unaopigiwa kelele daily alipaswa mtu kujiuzulu hapo. Bado, instead, we hear a lot of stupid stories about mgawo wa umeme kila mwaka bila shaka tangu uhuru.
 
Kazi ya kuwabana mafisadi na mbinu zao bado na mbichi. Uzembe kama huu unaopigiwa kelele daily alipaswa mtu kujiuzulu hapo. Bado, instead, we hear a lot of stupid stories about mgawo wa umeme kila mwaka bila shaka tangu uhuru.
Mzee Mwanakijiji naomba uwe mkweli....hata SHETANI umpe haki yake. Hebu tusaidie kudadavua hii siri, siri yenyewe ni hii....sio kweli kwamba Muungwana na yeye ali RICHMONDIKA ila kina Mwakyembe waliamua kumsitiri?
 
Matatizo ya Tanzania mengi ni ya kujitakia. Sasa ndio umefika wakati wa kunalipwa ujira wa ujinga wetu
 
......Hivi tumefikia kikomo cha kufikiri? Au ndio njia ya kutaka kujengea hoja ununuzi wa mitambo ya Dowans?
 
Mie naona safi tu.

Ila wakisema wanataka kununua mitambo ya DOWANS basi tule nao sahani moja hadi kieleweke. Hapa itabidi CHADEMA kama kweli wanatutakia mema, basi tuwaone sasa. Hapa itabidi kama Mwakyembe anataka kujiosha madhambi yake, basi na agome tumuone. Kama Sita. Zito na wengine wanataka kuwa Watanzania wazalendo, kazi sasa ianze.

Heri tudumu kwenye GIZA HADI UCHAGUZI. Labda watu wa Dar wataanza kuona umuhimu wa kuwa na vyama vya upinzani. Inasikitisha Dar pamoja na kuwa na wasomi wengi, CCM wameshika hatamu.

SAY NO TO DOWANS. Wiki lijalo nabadilisha sahihi yangu. Ngoja nipekue sentenzi nzuri inayopinga
Dowans.

CCM LONDON: Mnasemaje kuhusu hili? CCM Moscow je?
 
Narudia tena na nasema tena na tena UPUUZI huu wa nchi yetu utakoma pale tu wanasiasa wakiacha mambo ya technical yajiendeshe, stop mixing politics with technical issues! ful stop!
 
Kwa masikitiko makubwa nimezipokea habari hizi! Wandungu mnajua hatuna sababu yeyote ya kutokuwa na umeme wa kutosha na wa uhakika. Tunayo reserve kuuuubwa ya Natural Gas pale kisiwa cha Songosongo na Mnazibay ambayo haitumiki! Sisi ni vilema wa vichwa? Tuna bomba la gesi 220km toka Songosongo mpaka Dar, tunashindwa kununua majenereta ya kufua umeme!!! Rangi za kijani na njano ni nzuri sana kwa kuangalia, kumbe ni rangi za laana!

Ole wao wapigiao kura CCM , maana laana i juu yao.
 
Unajua mpaka inatia kinyaa ukiona jinsi serikali inavyofanya kazi zake. Songas walishasema kwamba wananyimwa kibali cha kuongeza generators zingine pale ubungo ili waongeze uzalishaji na kukomesha mgao kabisa.

Ni kwa nini serikali hawataki kuwaruhusu SONGAS waongeze uzalishaji wakati gas asilia ipo ya kutosha zaidi ya miaka 50 ijayo???
 
hatimaye watakuwa wamefikia hitimisho la kununua majenereta ya Dowans ambayo tuliyalipia dola milioni 30 kuyasafirisha..
 
Hivi kweli Tanzania yenye gas asilia, makaa ya mawe, mito itiririkayo majira yote ya mwaka inakosa umeme? Si aibu hii jamani??

Hivi zile bilioni 220 za vitambulisho ni generator ngapi za kufua umeme?? Mshauri wa uchumi wa CCM na serikali yake ni nani??

Ni nini vipaumbele vya Tanzania na CCM yake??
 
Agrrrrrrrrrrrr.......... Hii serikali yetu tuendelee kuiombea tu hamna shaka ipo siku mabadiliko yatatokea..!
 
Back
Top Bottom