Mgao huu wa umeme ni mkali mno

Mgao huu wa umeme ni mkali mno

TANESCO angalieni hili jambo, hivi kweli mwaka huu jua limewaja lini hadi maji yakapungua kiasi cha kupunguza uzalishaji kwa kiwango hiki?

Serikali inahubiri maendeleo huku haina umeme wa uhakika, hizi ni ndoto.

Mtaani kwangu umeme unakatwa saa 1 asubuhi hadi saa 2 usiku, sijui hizo line zenu wadau[emoji848]
1000037009.jpg
 
Maisha yangu haitakuja niishi kwa kuutegemea umeme wa CCM, ni mwendo wa solar panel za uhakika. Yaan umeme ni 24hours
 
TANESCO angalieni hili jambo, hivi kweli mwaka huu jua limewaja lini hadi maji yakapungua kiasi cha kupunguza uzalishaji kwa kiwango hiki?

Serikali inahubiri maendeleo huku haina umeme wa uhakika, hizi ni ndoto.

Mtaani kwangu umeme unakatwa saa 1 asubuhi hadi saa 2 usiku, sijui hizo line zenu wadau[emoji848]
Tuipongeze sanaTANESCO, wansupiga mwingi mno sasa hivi.

Sent from my LLD-AL00 using JamiiForums mobile app
 
Ifike mahali sasa serikali itafute uwekezaji kwenye solar panels kwenye nyumba, ili zisaidie hii kadhia ya umeme

Mbona wenzetu huku majuu wana shawishi sana uwekaji wa solar majumbani
Kwa mfano 🇬🇧 serikali ilikuwa inatoa nusu ya gharama kwa yeyote anaeweka solar nyumbani kwake
Na leo kuna nyumba zaidi ya 1.3m yaani 4.1% ya nyumba zote nchini zina solar na kila leo watu wanaweka

Hii kadhia haitaisha kwa sababu kuna watu wanafanya yao sio kwa kukatika huko
 
Naishauri Serikali iunde tume iichunguze TANESCO pamoja na wafanyakazi wake wote ili kubaini ni nani haswa anaihujumu TANESCO na Serikali.

Inawezekana kabisa kinacho endelea Tanesco ni hujuma.
 
Hakuna hujuma..
Tanzania yetu..
 
TANESCO angalieni hili jambo, hivi kweli mwaka huu jua limewaja lini hadi maji yakapungua kiasi cha kupunguza uzalishaji kwa kiwango hiki?

Serikali inahubiri maendeleo huku haina umeme wa uhakika, hizi ni ndoto.

Mtaani kwangu umeme unakatwa saa 1 asubuhi hadi saa 2 usiku, sijui hizo line zenu wadau[emoji848]
Wanasema sio mgawo bali kuna upungufu wa umeme [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TANESCO angalieni hili jambo, hivi kweli mwaka huu jua limewaja lini hadi maji yakapungua kiasi cha kupunguza uzalishaji kwa kiwango hiki?

Serikali inahubiri maendeleo huku haina umeme wa uhakika, hizi ni ndoto.

Mtaani kwangu umeme unakatwa saa 1 asubuhi hadi saa 2 usiku, sijui hizo line zenu wadau[emoji848]
Maharage anasingizia mvua.

Kazi si ndogo
 
Asante Tanesco
Jana umerudi Saa 6 usiku
Na saa 10 alfajiri wamekata..
Wacha tufunge sola [emoji119]
 
Washakata mapema sana tangu saa moja hapa najua mpaka saa mbili usiku.
 
Pole January kwa kipindi kile kusemwa ovyo. Ona sasa haya mambo yalivyo magumu. Ungechafuliwa mpk basi. Kula maisha mambo ya nje
 
Back
Top Bottom