Mganga wa kienyeji katembea na mke wa rafiki yangu akimdanganya ni jini

Watu wanaongoza kutembea na wake za watu ambao wanaamini katika ujinga kuliko.maarifa ni.
1. Waganga wa Jadi
2. Wachungaji na Mapdri
3. Mashekhe wanaojidai kufundisha Elimu ya Dini.
Hizo kesi za wanawake kuliwa na waganga wala sio jambo jipya. Huyu rafiki yako hana utulivu angeenda kimyakimya na kumfanyia jambo ngumu sana. Mwambie rafiki yako ampe talaka huyu mke hafai.
 
Wanawake wajinga sana
 
Aisee huyo dada mjinga sana. Ona sasa kaivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe. Kwahiyo lingekuwa jini angekausha sio?
Hata ningekua mimi siwez kuishi na mwanamke najua kabisa mganga alimumwagia
 
Kuna watu wako vzuri wameenda adi police. Mda uo wengine Saivi mngekua mna sikia kuna mganga kaokotwa akiwa hana kichwa police bado wanaendelea na uchunguzi
Hata ningekua ni mimi ndio ingekua habari ya vichwa vya habar kwenye magazeti
 
Wajinga sana wanatomba wake zawatu
 
Watu wangu huangamia kwa kukosa maarifa....

Iko siku vizazi vyetu havitakuwa na KUKARISHANA UJINGA tunaouishi.....

#SiempreJMT
#NchiKwanza
 
Unajua huyo dada hana tabia mbovu sema kaingizwa cha kike alafu ilimuuma kumwagiwa shahawa na mtu sio chaguo lake ikamuuma akaona wakumsaidia pekee ni mme wake mme nae kasimliwa ilivyokua akashidwa uvumilivu
 
Kiujumla Ke ni kumbe kisichojua nini kinachotaka, vipi madereva bodaboda wapakaa rangi kucha, unajua wanawatafuna kwa kiwango gani hao Ke?

Sent from my CPH2185 using JamiiForums mobile app
 
Hii kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…