Mganga halisi

Mganga halisi

Kesh

Member
Joined
Oct 5, 2016
Posts
9
Reaction score
4
Mganga halisi anayejua mambo ya mapenzi na biashara anahitajika sasa hivi. Tafadhali asikuwe ni tapeli. Tumechoshwa na matapeli
 
Mganga halisi anayejua mambo ya mapenzi na biashara anahitajika sasa hivi. Tafadhali asikuwe ni tapeli. Tumechoshwa na matapeli
Jaribu kueleza tatizo lako kwa undani nijaribu kukusaidia hapa hapa kwa faida ya wengi pia
 
Niandalie mbuzi mweusi na kilo ishirini na tano za mchele wa Kyela, Mbeya.
 
Mganga halisi anayejua mambo ya mapenzi na biashara anahitajika sasa hivi. Tafadhali asikuwe ni tapeli. Tumechoshwa na matapeli
Tiba ya matatizo uliyonayo ni pesa tu, wala usijisumbuwe huitaji mganga wala nini, tafuta hela fullstop.

Kama ni mkosi au nuksi uliyonayo ni ukosefu wa madini ya fedha mwilini, tafuta mganga wa Ndago.
 
Kumbe ndio maana mnachapiwa halafu mnakuja hapa JF kulia lia!ukiona mwanamke hakutani sio riziki yako tafuta mwingine,natabiri huyo mwanamke au mwanaume unayetaka kumfanyia dawa ya mapenzi wenzako lazima watakusaidia halafu kesho utakuja hapa JF kuomba ushauri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom