Tatizo la binadamu uwezi kuwa kamili kwa kila kitu lazima tu utakuwa na mapungufu sasa wao wanajiona watakatifu na mmoja wao nakusema atakuwa rais wa malaika wakati ata maandiko yanasema kuna malaika mkuu tayari Gabriel
Vichekesho Bagamoyo/Dar kwa barabara ni karibu kuliko kusafiri kwa hii boti. Kuna sehemu kadhaa wanihitajia hii boti ingewasaidia kiusafiri na kukuza utalii mfano kwenda Mafia na pia Tanga/Pemba/Znz
Hakuna aliyeko huko akawa msafi, wote ni wezi!!!!, chunguza wanaoiunga mkono au kushabikia,ana tenda za kifisadi,anafanya biashara kwa kukwepa kodi/haramu, amepewa kazi kwa upendeleo, wazizi,kaka,dada wanafanya kazi huko na yeye anafaidika.anayejidai mganga, mwenyewe yuko icu