Hakuna aliyeko huko akawa msafi, wote ni wezi!!!!, chunguza wanaoiunga mkono au kushabikia,ana tenda za kifisadi,anafanya biashara kwa kukwepa kodi/haramu, amepewa kazi kwa upendeleo, wazizi,kaka,dada wanafanya kazi huko na yeye anafaidika.anayejidai mganga, mwenyewe yuko icu
Teh teh teh. hili nalo lilikuwa lengo la pili wakati wa ununuzi wake au imetokezea tu?Inaandaliwa kuwa floating hotel pale ferry