hahah mpendwa dunia hii imejazwa na watu wa kila aina, muhimu ni kupotezea tu!!! mara nyingi wapatao BAN ni wale wenye munkari wa kujibu...
Mh!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Kwanini ushtuke? Kwani chumba kinahusika nini na upeanaji miongozo?
Ningesema uje uwanja wa mpira obvious nitasomeka afya ya akili yangu si bar'aba'ra !
Ben Saanane anailazimisha tu furaha ingawa moyoni ana majonzi, ujio wa kiplagati26 unamnyima usingizi...., afu kagundua kuwa Madame B aliyekuwa anamdhania ni keki kumbe ni bumunda tu. The guy is really in a tough mment..
Niko Babati, karibu.
Baba V apewe dawa ya kupunguza munkary maana ni hatari sasa, amekuwa Most Banned memberWapi Nicas Mtei ? Una maoni gani kwa mkuu huyu? Utamsaidiaje ktk kupunguza munkary ?
Je? Angekua anatembea na bunduki au kisu humu mtandaoni ingekua vipi ?
Kama nilitahiriwa nikaondolewa G.ovi , nitaogopa ban mkuu ?
sikio la kufa.................
Tatizo ni kuwa anatoa ushauri wote bila hata kujibakishia wake
Ben Saanane anailazimisha tu furaha ingawa moyoni ana majonzi, ujio wa kiplagati26 unamnyima usingizi...., afu kagundua kuwa Madame B aliyekuwa anamdhania ni keki kumbe ni bumunda tu. The guy is really in a tough mment..
likate na ulitoboe toboe...