Tajiri Mapesa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2020
- 707
- 698
Ndo hapo... Asituchoshe... Au atununulie vigari tumshauri vizuriMganga huyo wa Njombe kwanza ameshakufa pili ulivyoenda kuomba utajiri sisi haukutushirisha sasa iweje Leo kuoa utushirikishe pambana na Hali yako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi hawa waganga wako wapi tunavyohangaika na bro coro!?Bwana Shukuru wa Misungwi, ebu tuache tupambane na Corona kwanza!
Oa mwanamke mwenye mimba ya manaume mwingine.Am sure utampata tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naamini soap haina shida uliruhusiwa.Habarini ndugu zangu, kwanza poleni na mihangaiko yote ya hapa jukwaani,
Kwa majina naitwa Shukuru ni mkazi wa Misungwi nina umri wa miaka 35.
Katika harakati zangu za kutafuta maisha nilipata kushawishiwa na rafiki yangu kwenda kutafuta pesa za majini ambapo mimi na rafiki yangu tulikwenda kwa mganga mmoja huko maeneo ya njombe.
Mganga alitupatia utajiri lakini kwa masharti ya kutoshiriki tendo la ndoa na mwanamke yeyote yule wala kuoa. Nimefanikiwa kufuata masharti hayo kwa asilimia 100, mpaka sasa nina miaka 10 sijashiriki tendo la ndoa na mwanamke yeyote. Nina majumba, magari na utajiri mkubwa ila sijaoa.
Sasa wazazi wangu walivyoona nakaa muda mrefu bila kuoa wamenijia juu wanataka nioe na wanahitaji wajukuu. Nipo njia panda sijui la kufanya. Naombeni ushauri wakuu nifanyeje.
Amesema yeye alimpatia njombe huko😅
Sambaza miamala humu Kisha tukupe ushauri.Habarini ndugu zangu, kwanza poleni na mihangaiko yote ya hapa jukwaani,
Kwa majina naitwa Shukuru ni mkazi wa Misungwi nina umri wa miaka 35.
Katika harakati zangu za kutafuta maisha nilipata kushawishiwa na rafiki yangu kwenda kutafuta pesa za majini ambapo mimi na rafiki yangu tulikwenda kwa mganga mmoja huko maeneo ya njombe.
Mganga alitupatia utajiri lakini kwa masharti ya kutoshiriki tendo la ndoa na mwanamke yeyote yule wala kuoa. Nimefanikiwa kufuata masharti hayo kwa asilimia 100, mpaka sasa nina miaka 10 sijashiriki tendo la ndoa na mwanamke yeyote. Nina majumba, magari na utajiri mkubwa ila sijaoa.
Sasa wazazi wangu walivyoona nakaa muda mrefu bila kuoa wamenijia juu wanataka nioe na wanahitaji wajukuu. Nipo njia panda sijui la kufanya. Naombeni ushauri wakuu nifanyeje.
Habarini ndugu zangu, kwanza poleni na mihangaiko yote ya hapa jukwaani,
Kwa majina naitwa Shukuru ni mkazi wa Misungwi nina umri wa miaka 35.
Katika harakati zangu za kutafuta maisha nilipata kushawishiwa na rafiki yangu kwenda kutafuta pesa za majini ambapo mimi na rafiki yangu tulikwenda kwa mganga mmoja huko maeneo ya njombe.
Mganga alitupatia utajiri lakini kwa masharti ya kutoshiriki tendo la ndoa na mwanamke yeyote yule wala kuoa. Nimefanikiwa kufuata masharti hayo kwa asilimia 100, mpaka sasa nina miaka 10 sijashiriki tendo la ndoa na mwanamke yeyote. Nina majumba, magari na utajiri mkubwa ila sijaoa.
Sasa wazazi wangu walivyoona nakaa muda mrefu bila kuoa wamenijia juu wanataka nioe na wanahitaji wajukuu. Nipo njia panda sijui la kufanya. Naombeni ushauri wakuu nifanyeje.
Lipia tangazoHabarini ndugu zangu, kwanza poleni na mihangaiko yote ya hapa jukwaani,